Barua ya wazi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Waziri wa TAMISEMI na IGP

Haya ndio mambo wakati mwingine husababisha watu kuwa magaidi, hivi mtu kama huyu akiona haki yake haipatikani si anaweza fanya tukio lolote tu la kisasi!!
 
Ndio maana nafanya mazoezi hapa siku nikionewa hivi wahusika wanakiona Cha Moto.
 
Mtoa mada pole sana.
Mikononi mwa polisi maisha huwa ni mikosi sana.

Kwenye maelezo yako nimeshangazwa sana na jinsi TAKUKURU walivyoshughulika na suala lako.

TAKUKURU wa Mpwapwa wanapaswa kuwajibishwa.

Hiyo chain yote inapaswa kuondolewa kwenye utumishi wa jeshi la polisi.

Na hii yote ni baada ya uchunguzi huru kufanyika.
 
Ulishindwa kukaza mpaka ukatoa pesa?yaani una polisi hela SI rushwa hio ulitakiwa ukomae mpaka wakupeleke mahakamani
Unawajua maaskari wewe? Hakuna watu waovu kwenye uso wa ardhi km hao watu ,hao tofauti ya na majambazi ni moja tu..
Askari ameruhusiwa kushika sihala kihalali lakini ni wahalifu mnooo!
Mahakamani asingepelekwa na angeleta ubishi angepewa kesi ya uhaini..
Nawajua askari vzr mnoo!

Kituo cha polisi Kizuani mbagala ntakuja kuandika uhalifu wao hapa!ngoja nitulie!

Mnajua kama kuna wahalifu hawapelekwi mahakamani wako locku up tu wanakaa ht miezi sita na kuendelea..

Dogo hii nchi kwio sana!
 
Hamna watu madhalimu kama maaskari polisi!wana nafsi za kinyama mnoo!nawachukia na siwaombeagi kheri
 
Aysee haya mambo yanatia hasira mno,yanatia hasira kupita kiasi.
Binadamu kuwa na roho za kinyama ni matokeo ya matendo mabaya anayofanyiwa na binadamu mwenzake hivyo polepole roho za chuki na kisasi hujijenga mioyoni.
Ayseeeee,hapana kwakweli kama maelezo yako ni sahihi basi umefanyiwa kitendo cha kinyama mno.
Kuna usemi unatembea huko mitaani, " ADUI UNAYEMUWEZA USIMUACHIE MUNGU"....!!


Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Too long I didn't even read it but hiyo namba ya simu uliyoweka mzee hao polisi watakumaliza, mhalifu namba moja ni polisi mzee.

Just a piece of advice.
Kila mtu atakufa hata wewe utakufa. Hakuna atakaeishi milele. Huwezi kuacha kutetea haki yako kwasababu ya kifo.
 
OCD,TAKUKURU Wilaya,Das,Mkuu wa Wilaya wote hao Wananuka,wewe ni mtumishi wa Uma umefanyiwa hivyo,Madhara yake ni kama ulivyoeleza afya yako(Ulemavu) na pili wananchi kukosa huduma nyeti ya Afya.Ngazi hizo zote zimeonyesha harufu.Ukisaidiwa na waziri utupe Mrejesho.TAKUKURU TAKUKURU TAKUKURU Mmmmmmmmmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…