Hii ni kesi ya pili inaletwa humu.Hivi ni kweli polisi wamegeuka vibaka hivi?Ni njaa sana zimewakaba mpk kukakamata raia?Hii ni aibu sana kwa Jeshi la polisi,watu ambao wanatakiwa wawalinde raia ndio wanaowadhuru.Jeshi la polisi huwa halifuatiliii nyendo za hawa vijana wao na matokeo ndio kama haya.Mtumishi wa watu anaenda kwa OCD takukuru nk ila hamna msaada anaopata. Ni aibu kubwa sana jmn.Kama kuna viongozi mnapita humu msaidieni huyu kijana apate haki yake.Huu ni unyama na udhalilishaji kitu ambacho ni aibu sana kwa jeshi la polisi.Binafsi nimesikitika sana!