Barua ya wazi kwa Waziri wa Mazingira na NEMC- Kelele mitihani ni tishio la afya za wananchi na Ustawi wa Taifa

Hawajali, hii restaurant hapo wanapopikia chakula. mafuta ya kupikia yanatiwa kwenye maji taka.
Takataka zinatupwa ovyo
Jamaa wakipita wanapewa chao hawajali afya za watu

Kwa hali kama hii mtu akifanya kazi hapo asubuhi mpaka jioni, 24/7 , ataacha kupoteza hali ya kusikia kweli?
 
Muda wote watu wanawaza kushinda uchaguzi, unafikiri Kuna kitu watafikiria kwa ajili ya kesho ya Taifa hili.
 
NEMC, ipitie hizi nyuzi malalamiko ya kelele yamekuwa ni mengi. Ilifanyie kazi jambo hili.
 
Aisee hili ni kweli...nilikuwa Nyegezi hapo. Sijui watu wanalalaje usingizi
 
Kama kuna mtu yupo karibu na huyo unayemwita Waziri wa Mazingira mwambie kuwa mitaa ni michafu kwa plastics na uchafu mwingine. Aanzishe kampeni ya kupunguza matumizi ya plastics hasa vifungashio vya vinywaji vya energy drinks. Pia ile kampeni ya usafi irudishwe
 

Hii nchi ina shida sana kwa kweli.
 
Hivi moo energy za.kijani mbona zinazagaa.sana. hivi redbull aliwezaje kuwa.msafi
 
Hivi moo energy za.kijani mbona zinazagaa.sana. hivi redbull aliwezaje kuwa.msafi
Itakuwa ni ile uwingi wa matumizi. Karibu kila mtu anatumia Mo energy sababu ni bei nafuu japo madhara yanaweza kuwa makubwa.
Serikali ingeingilia kati kwa kuziwekea ushuru wa taka (kwa maoni yangu)
 
Kuishi mjini ni stress tu. Mtu una mawazo yako na mipangilio kichwani unasikia sumu ya panya, mende viroboto etc bado zile kelele za wanao ingiza nyimbo na movies kwenye flash😂😂😂 lazima udate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…