Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)

Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP).
 
Wakiagiza nje wanapiga dili vizuri
 
Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)
 
Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)
 
Kwa mfano kwa sasa hivi nimefatilia issue ya mbolea Rombo na Moshi Vijijini hadi Siha mbolea inachukuliwa Kenya kwa wingi sana na hawazalishi.
 
Kuna mambo ukiyasema Serikali ni sawa unashika sharubu za simba na kuzichezea.

Wengi was viongozi was serikali ni mental slave thinkers. Wanafikiria kujikimbikizia. Na ktk mbolea ni sehemu moja yapo ya kuchota mapesa kwa ajili ya wao na watoto wao. Chukulia anaambiwa atapata sh 1 kwa tani za mbolea akiidhisha kuuzwa tz.

Sasa ndugu yangu ungemaliza kwa kuweka link za mini plan za mbolea tujue zinauzwajwe. Ili bei zikiwa rafiki sisi kazi yetu iwe kuhamasisha wanunuee ña kuzalisha.
Hakuna namna.

Haya tunayo yaandika yatasomwa na vizazi vijavyo hata yasipofanyiwa kazi leo hii ni bora tuendelee kuandika ndio kazi tuliyopangiwa kuandika kushauri na kusema ukweli.
 
Ni kweli na ni bora tuandike jambo ili ije kusomwa kama sehemu ya historia. Badala ya kuandika ushauri usiokamilika. Ushauri, onyesha njia na kufanya uchambuzi was gharama. Mini bora, kutengeza au kununua. Kwa References zipi
 
Kawaulize EU wamesemaje kuhusu mbolea. Umoja wa ulaya wamekataza kununua mbolea wametutaka tutengeneze mbolea za kwetu.
 
Kuna yyt anaeweza kunifafanulia kwa lugha rahisi tofauti ya haya maneno(UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)

Na je soko la mbolea liko vipi, ikiletwa brand mpya vipi yaweza kukamata soko.

Maana hakuna namna.
 
Ndugu hizo ni kampaundi za kikemikali zenye uwezo wa kutoa madini ya kurutubisha mimea. Hizo kampaundi zimeundwa kwa element.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…