Mbona sababu zipo. 1. Kumsengenya masiah kwa njia ya sim
2. Kuonesha nia ya kumnyang'anya tonge mdomoni msema kweli.
Wasitutanie. Ita wahalifu hao wahojiwe
Ohooooo!!!Wamebadilishiwa mashitaka watashitakiwa kwa ”UHUJUMU UTUKUFU/ UMAGUFULI”
soma vizuri uzi , hakuna aliyesema hawataitwaMara paap wameitwa, mada hii inafungwa au tunaendelea na majalidiliano!
Wacheni kuwajaza vichwa hao wazee wenu wezi wakubwa.Katika watu ambao ni useless ni huyu Ndugu yangu Nshomile. Very hopeless! Anadhani atafia ofisi ya CCM na atakwenda nayo kwa shetani akifa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kitu .Wacheni kuwajaza vichwa hao wazee wenu wezi wakubwa.
Halafu ccm sio SACCOS bali taasisi, wanajua kinachoendelea,
Sent using Jamii Forums mobile app
Too lateHuu ni uchochezi wa gazeti la chadema, strategy mzuri wanayoitumia kwenye gazeti lao. Hii wanajitahidi kuhakikisha chama cha CCM na serekali wanapoteza focus kwenye mambo ya siasa na maendeleo kwa kuchokonoa siasa za ndani za ccm.
Sidhani kama CCM inaingia huu mtego wao, watafanya mambo kwa hekima na uzoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimuheshimu akiwa UDSM kwa uchambuzi usio na chembe ya upande. Kufika Fisiem kama kawaida yao wamelamba ule ubongo wa uchambuzi amebakishiwa ile kitu inatolewa kwa lile tundu la nyuma. Uzuri ni kifo cha wengi palamagamba yeye amekiri kuwa ubongo umeshalambwa na makazi yake ni jalalani. poor FISIEM kaburi la vipaji na utaalamuWacheni kuwajaza vichwa hao wazee wenu wezi wakubwa.
Halafu ccm sio SACCOS bali taasisi, wanajua kinachoendelea,
Sent using Jamii Forums mobile app
kosa jipya kabisa dunianiKosa ni kusengenya
Aiseee!!!Nilimuheshimu akiwa UDSM kwa uchambuzi usio na chembe ya upande. Kufika Fisiem kama kawaida yao wamelamba ule ubongo wa uchambuzi amebakishiwa ile kitu inatolewa kwa lile tundu la nyuma. Uzuri ni kifo cha wengi palamagamba yeye amekiri kuwa ubongo umeshalambwa na makazi yake ni jalalani. poor FISIEM kaburi la vipaji na utaalamu
Du bidada huishi vituko! Sasa kindengundengu ndo mtaa gani ? Na hawa wazee unaosimama upande wao mbona walipokua madarakani mliwananga ? Wajameni !!View attachment 1304608
Hii ndio habari mpya kwa sasa , kwamba barua za kuwaita wastaafu ili wahojiwe kwenye vikao vya chama chao mpaka leo hazijaandaliwa baada ya Katibu Mkuu wa ccm ndugu Bashiru Ally kukumbwa na " Kindengu ndengu " watu wa Nyasa wanaita hali hii kama kutetemeka mikono kunakoweza kusababisha mhusika kudondosha glass ya maji au hata kushindwa kushika kalamu ya kuandikia .
Taarifa za ndani kwa ndani zinadokeza kwamba sababu ya kindengundengu hiki ni kutokana na kukosekana kwa sababu za maana za kuwaita wazee hawa kwenye kikao hicho
Tuendelee kutega sikio labda waweza kuitwa kwa njia ya Whatsapp .
Hebu jibu post #14 kwanza!Mnapenda kujiaibisha sana. Siku wakiitwa mtabadili gia, lakini mtakiwa mmeishaaibika!
Kumuita mzee Mshamba bila kutanguliza heshima yake, Mheshimiwa!
Hapo sasa !Mara paap wameitwa, mada hii inafungwa au tunaendelea na majalidiliano!
Huyu mnyama(probably the head of this state) inaonekana alipigwa mkuki kama sio mshale(yaani mzee niguse ninuke, makamber, ns kinanauka ndio mkuki wenyewe) ila akasurvive lakini mshale huo umeendelea kumtafuna taratibu kwakukosa wa kuutoa(sio ccm wala katibubwake wameshindwa) pale ulipong'ang'ania kichwani(yaani ccm na mwenyekiti wake
😠😠😠Mtaalamu tufafanulie kidogo