Barua za kuwaita Kinana, Membe na Makamba zaota mbawa, Mikono ya Bashiru Ally yatetemeka kila akishika kalamu

Barua za kuwaita Kinana, Membe na Makamba zaota mbawa, Mikono ya Bashiru Ally yatetemeka kila akishika kalamu

Du bidada huishi vituko! Sasa kindengundengu ndo mtaa gani ? Na hawa wazee unaosimama upande wao mbona walipokua madarakani mliwananga ? Wajameni !!
Kazi yetu ni kufukua na kuleta hadharani habari zinazofichwa
 
siri ni moja ccm inautamaduni auto wagusa walio kuwa ndani ya serikali na ngaz za juu chama. Hapo ukigusa chama kinaweza kuku freeze ndio maana JK akamfuwata Mzee kwa Helicopter shambani. Chezea ccm. Yani wakikinukisha hata jeshi unaliona halina nguvu mpaka wanao poteza watu wanakupoteza wewe oh ccm hatari sana.
 
Magu na Dr Bashiru wamewakosea adabu sana akina mzee Kinana, Makamba na Membe. Wawaombe radhi. Kumbuka hawa ndio wenye chama. Jiwe na Bashiru ni outsiders. Hata hivyo vyeo wamevipata kama zari tu. Hata wao deep inside wanajua. Wasijisahau sana.

Katika watu ambao ni useless ni huyu Ndugu yangu Nshomile. Very hopeless! Anadhani atafia ofisi ya CCM na atakwenda nayo kwa shetani akifa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kindengu ndengu.Bhambo,habareee,ulamaaaaaa?

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Mbona sababu zipo. 1. Kumsengenya masiah kwa njia ya sim
2. Kuonesha nia ya kumnyang'anya tonge mdomoni msema kweli.

Wasitutanie. Ita wahalifu hao wahojiwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Tuendelee kutega sikio labda waweza kuitwa kwa njia ya Whatsapp .
Ccm huwa haifanyi kazi kwa mitulinga kamanda
Yaani Nec iagize halafu katibu ashindwe kutekeleza!?acha utani wewe,subiri sikukuu zipite
 
Ccm huwa haifanyi kazi kwa mitulinga kamanda
Yaani Nec iagize halafu katibu ashindwe kutekeleza!?acha utani wewe,subiri sikukuu zipite
Nakuona mpambe kwenye ubora wako wa kutolewa ufahamu na kubaki debe tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Nakuona mpambe kwenye ubora wako wa kutolewa ufahamu na kubaki debe tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Jikite kwenye hoja,kama upambe hata wewe unamshabikia mwamba tuvushe
 
Magu na Dr Bashiru wamewakosea adabu sana akina mzee Kinana, Makamba na Membe. Wawaombe radhi. Kumbuka hawa ndio wenye chama. Jiwe na Bashiru ni outsiders. Hata hivyo vyeo wamevipata kama zari tu. Hata wao deep inside wanajua. Wasijisahau sana.
Ni Ngekewa tu kuwa Rais na Katibu mkuu, hawakustahili. CCM ni ya wazee hawa, wamewakosea sana adabu! Lakini the one to blame ni Kikwete! Alikuwa na veto ya kumkataa Jiwe , lkn kwa UDHAIFU wake akapita
 
Jikite kwenye hoja,kama upambe hata wewe unamshabikia mwamba tuvushe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Barikiwa saana.Unajua maisha ni mipango.Hiyo kazi uliyoichagua, hakika kwa sasa ndiyo yenye ujira mkubwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Acheni upambe mtakuja kumuudhi mwenyekiti atimue watu
View attachment 1304608

Hii ndio habari mpya kwa sasa , kwamba barua za kuwaita wastaafu ili wahojiwe kwenye vikao vya chama chao mpaka leo hazijaandaliwa baada ya Katibu Mkuu wa ccm ndugu Bashiru Ally kukumbwa na " Kindengu ndengu " watu wa Nyasa wanaita hali hii kama kutetemeka mikono kunakoweza kusababisha mhusika kudondosha glass ya maji au hata kushindwa kushika kalamu ya kuandikia .

Taarifa za ndani kwa ndani zinadokeza kwamba sababu ya kindengundengu hiki ni kutokana na kukosekana kwa sababu za maana za kuwaita wazee hawa kwenye kikao hicho

Tuendelee kutega sikio labda waweza kuitwa kwa njia ya Whatsapp .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na jasusi anasubiri sana kwa hamu hiyo barua....na jasusi atakapokua mbele ya kamati itabidi na jiwe naye awepo
 
Ccm huwa haifanyi kazi kwa mitulinga kamanda
Yaani Nec iagize halafu katibu ashindwe kutekeleza!?acha utani wewe,subiri sikukuu zipite
aliyeagiza ni Magufuli , ccm haikuagiza huo uchafu
 
Back
Top Bottom