Barua za kuwaita Kinana, Membe na Makamba zaota mbawa, Mikono ya Bashiru Ally yatetemeka kila akishika kalamu

Hii ndio habari mpya kwa sasa, kwamba barua za kuwaita wastaafu ili wahojiwe kwenye vikao vya chama chao mpaka leo hazijaandaliwa baada ya Katibu Mkuu wa ccm ndugu Bashiru Ally kukumbwa na " Kindengu ndengu " watu wa Nyasa wanaita hali hii kama kutetemeka mikono kunakoweza kusababisha mhusika kudondosha glass ya maji au hata kushindwa kushika kalamu ya kuandikia .

Taarifa za ndani kwa ndani zinadokeza kwamba sababu ya kindengundengu hiki ni kutokana na kukosekana kwa sababu za maana za kuwaita wazee hawa kwenye kikao hicho

Tuendelee kutega sikio labda waweza kuitwa kwa njia ya Whatsapp.
Kituko ni ufipa wanajisahau na kuongea ya sisiemu. Wakija shtuka 2020 octob hii, kinachofuata tumeibiwa.
Endeeni kucheza hili dansi. Dadadeki.
 
Ni kama vile fisiem mlivopoteza mwelekeo mlikomalia MBOWE aachie kiti mlijisahau mkizani ni mwenyekiti wa Fisiem. Aasa Mbowe huyooo msiyempenda anaendelea kuwaumiza miaka 1000😃😃😃
Cc: Erythrocyte
 
CCM hawana shida kabisa na Mbowe.
Hakuna kitu rahisi kwa CCM kama kupiga dili na Mbowe.
 
Acha aendelee, ndio vizuri. Inapendeza kuwa na mtu kama mbowe anayejua kucheza na akili za bavicha alafu huku wana kitengo wanacheza na akili za mbowe! Hivyo mziki wa kitengo ukiwekwa kupitia mbowe hadi wewe unakata mauno huku jasho likikutoka.
Baada ya hapo Sasa tutaona mbeya mjini, arusha mjini, iringa mjinì, kibamba na kawe n hai nani atashinda. Huku ndio kwenye minyukano. Uchaguzi wa rais na wabunge maeneo mengine ni rahisi kwa sisiemu kama kunywa maji.
Tuone kazi ya huyo asiyependwa.
 
umedanganyika kizembe sana !
 
CCM hawana shida kabisa na Mbowe.
Hakuna kitu rahisi kwa CCM kama kupiga dili na Mbowe.
.....mae zenyu👺 mlikuwa mna😭😭😭 nini... Mbowe atoke Mbowe achia kiti😭😭😭 ....anina zenyu.
Huyo hapo msiyempenda Karudi shwain nyie
 
Kamanda nadhani ulikuwa una hallucinate.
Mbona hadi makonda alikuwa anampigia kampeni?
Au hukuona?
Mbowe akiwepo CCM inalala kabisa fofofo.
CCM ilikuwa hailali enzi zile kuna wapinzani serious na principled kama Dr Slaa.
Hawa wanaonunulika na MAFFISADI hawa haiowaogopi kabisa!!!
 
Katika watu ambao ni useless ni huyu Ndugu yangu Nshomile. Very hopeless! Anadhani atafia ofisi ya CCM na atakwenda nayo kwa shetani akifa!

Sent using Jamii Forums mobile app
upo sahihi mkuu. miongoni mwa mambo ya kipuuzi anayofikiria bwana BASHIRU nadhani anaweza kuirudisha ccm iwe kama ya nyerere? hovyo kabisa japo mwalimu wangu
 
Back
Top Bottom