Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #41
Kazi yetu ni kufukua na kuleta hadharani habari zinazofichwaDu bidada huishi vituko! Sasa kindengundengu ndo mtaa gani ? Na hawa wazee unaosimama upande wao mbona walipokua madarakani mliwananga ? Wajameni !!
Bashiru ni mhaya wa Kyaka!Hawezi kuwa nshomile. Nshomile huwa hawajikombi wala kujipendekeza Kwa yeyote.
Katika watu ambao ni useless ni huyu Ndugu yangu Nshomile. Very hopeless! Anadhani atafia ofisi ya CCM na atakwenda nayo kwa shetani akifa!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona sababu zipo. 1. Kumsengenya masiah kwa njia ya sim
2. Kuonesha nia ya kumnyang'anya tonge mdomoni msema kweli.
Wasitutanie. Ita wahalifu hao wahojiwe
Ccm huwa haifanyi kazi kwa mitulinga kamandaTuendelee kutega sikio labda waweza kuitwa kwa njia ya Whatsapp .
Nakuona mpambe kwenye ubora wako wa kutolewa ufahamu na kubaki debe tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ccm huwa haifanyi kazi kwa mitulinga kamanda
Yaani Nec iagize halafu katibu ashindwe kutekeleza!?acha utani wewe,subiri sikukuu zipite
Ingeshangaza mshana jr kuikosa hii picha. Nadhani uliiletewa kwenye kilinge chetu huko huko Shana boys home mapumzikoni. Nadhani hii ilikuwa ni paleee mbuga yetu pendwa Mkomazi. Walimvizia kwa ajili ya Xmas wakaula wa chuya. Watakula kwa picha tu
Jikite kwenye hoja,kama upambe hata wewe unamshabikia mwamba tuvusheNakuona mpambe kwenye ubora wako wa kutolewa ufahamu na kubaki debe tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Ni Ngekewa tu kuwa Rais na Katibu mkuu, hawakustahili. CCM ni ya wazee hawa, wamewakosea sana adabu! Lakini the one to blame ni Kikwete! Alikuwa na veto ya kumkataa Jiwe , lkn kwa UDHAIFU wake akapitaMagu na Dr Bashiru wamewakosea adabu sana akina mzee Kinana, Makamba na Membe. Wawaombe radhi. Kumbuka hawa ndio wenye chama. Jiwe na Bashiru ni outsiders. Hata hivyo vyeo wamevipata kama zari tu. Hata wao deep inside wanajua. Wasijisahau sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Barikiwa saana.Unajua maisha ni mipango.Hiyo kazi uliyoichagua, hakika kwa sasa ndiyo yenye ujira mkubwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jikite kwenye hoja,kama upambe hata wewe unamshabikia mwamba tuvushe
View attachment 1304608
Hii ndio habari mpya kwa sasa , kwamba barua za kuwaita wastaafu ili wahojiwe kwenye vikao vya chama chao mpaka leo hazijaandaliwa baada ya Katibu Mkuu wa ccm ndugu Bashiru Ally kukumbwa na " Kindengu ndengu " watu wa Nyasa wanaita hali hii kama kutetemeka mikono kunakoweza kusababisha mhusika kudondosha glass ya maji au hata kushindwa kushika kalamu ya kuandikia .
Taarifa za ndani kwa ndani zinadokeza kwamba sababu ya kindengundengu hiki ni kutokana na kukosekana kwa sababu za maana za kuwaita wazee hawa kwenye kikao hicho
Tuendelee kutega sikio labda waweza kuitwa kwa njia ya Whatsapp .
aliyeagiza ni Magufuli , ccm haikuagiza huo uchafuCcm huwa haifanyi kazi kwa mitulinga kamanda
Yaani Nec iagize halafu katibu ashindwe kutekeleza!?acha utani wewe,subiri sikukuu zipite
Wakitimuana sisi tunahusika na nini ?