Torra Siabba JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 289 Reaction score 415 Nov 3, 2026 #1 Ndugu zangu kwa watu wanaiishi mitaa ya Nyamazobe center kuna milipuko mikali inasikika kila siku, milipuko hiii inafanyika kwenye makazi ya watu, tunaomba mamlaka zitusaidie watakuja kutuua kwa presha
Ndugu zangu kwa watu wanaiishi mitaa ya Nyamazobe center kuna milipuko mikali inasikika kila siku, milipuko hiii inafanyika kwenye makazi ya watu, tunaomba mamlaka zitusaidie watakuja kutuua kwa presha
J johnmashilatu JF-Expert Member Joined Sep 16, 2010 Posts 1,263 Reaction score 1,753 Nov 3, 2026 #2 Kuna watu wa mazingira na maafisa afya, wao kuzungukia kwenye maduka na mikahawa ambako pia hauoni tija. Vilima karibu vyote vya Mwanza hali ni hiyo hiyo, kila anayetaka kulipua ruksa kana kwamba sheria na kanuni zimeenda likizo.
Kuna watu wa mazingira na maafisa afya, wao kuzungukia kwenye maduka na mikahawa ambako pia hauoni tija. Vilima karibu vyote vya Mwanza hali ni hiyo hiyo, kila anayetaka kulipua ruksa kana kwamba sheria na kanuni zimeenda likizo.