BASATA hawakuelewa matusi ya Harmonize mbele ya viongozi wa nchi?

BASATA hawakuelewa matusi ya Harmonize mbele ya viongozi wa nchi?

Mbomboclat ni chupi, na Harmonize hajakosea, kila aliyekuwepo pale lazima amevaa chupi... In vazi tu kama mavazi mengine.

Hao viongozi unaowaongelea na MwanaFA alikuwepo, ushafuatilia mashairi ya ngoma zake vizuri? Mtoa mada acha yoga. Maisha ndio haya haya sahau paradiso maana hauijui na hautofika maana haipo.
Nihonge kwani ina nini ndani,nihonge kwani ina TV.....Mheshimiwa Wzr
Mwanaume wa hovyo wewe........Venessa
 
Kuna nyimbo yake flani hua anarudia rudia kutaja neno "rungu" alafu wenye mamlaka wanachekelea....
 
Katika vitu vya kushangaza ni hili la msanii harmonize kutaja matusi kwa makusudi tena kwa kurudiarudia bila ya kujali uwepo wa viongozi wa nchi siku ile ya yanga day.

Nilitegemea angenyang'anywa kipaza sauti na waandaaji lakini ajabu haikua hivyo. Akaendelea tena na tena kutamka lile neno bomboclat qmbalo ni tusi kubwa lenye kufedhehesha linalotumika Jamaica. Ikumbukwe pia nchi nzima akiwemo Rais wa nchi walikua wakitazama matangazo yale moja kwa moja.

Inachoshangaza zaidi ni BASATA kulikalia kimya kabisa kana kwamba ni kitu cha kawaida kilichotokea, sasa sielewi ni sababu hawaelewi maana ya bomboclat au wanahisi watu hawaelewi maana yake hivyo wamepotezea.

Kuonesha kuwa haikua bahati mbaya kwa harmonize kutukana kwa kurudiarudia,alidiriki hata kuongea upuuzi kwa kutamka kupenda wanawake wenye makalio makubwa..huku akijua pale sio club na watu wa rika zote wanatazama yale matangazo. Hivi hawa BASATA wanajielewa kweli?
Pale hapakuwa Jamaica.Neno **** kwa Tanzania ni tusi kubwa ila Ghana **** ni jina La mtu.Kuna kesi moja maarufu kwenye land law inaitwa **** v.****.Kuna kesi maarufu Tanzania ya bwana Kukutia Ole Pumbuni mbona siyo tusi?
 
Katika vitu vya kushangaza ni hili la msanii harmonize kutaja matusi kwa makusudi tena kwa kurudiarudia bila ya kujali uwepo wa viongozi wa nchi siku ile ya yanga day.

Nilitegemea angenyang'anywa kipaza sauti na waandaaji lakini ajabu haikua hivyo. Akaendelea tena na tena kutamka lile neno bomboclat qmbalo ni tusi kubwa lenye kufedhehesha linalotumika Jamaica. Ikumbukwe pia nchi nzima akiwemo Rais wa nchi walikua wakitazama matangazo yale moja kwa moja.

Inachoshangaza zaidi ni BASATA kulikalia kimya kabisa kana kwamba ni kitu cha kawaida kilichotokea, sasa sielewi ni sababu hawaelewi maana ya bomboclat au wanahisi watu hawaelewi maana yake hivyo wamepotezea.

Kuonesha kuwa haikua bahati mbaya kwa harmonize kutukana kwa kurudiarudia,alidiriki hata kuongea upuuzi kwa kutamka kupenda wanawake wenye makalio makubwa..huku akijua pale sio club na watu wa rika zote wanatazama yale matangazo. Hivi hawa BASATA wanajielewa kweli?
Kuonesha kuwa haikua bahati mbaya kwa harmonize kutukana kwa kurudiarudia,alidiriki hata kuongea upuuzi kwa kutamka kupenda wanawake wenye makalio makubwa..huku akijua pale sio club na watu wa rika zote wanatazama yale matangazo. Hivi hawa BASATA wanajielewa kweli?👌🏿
Nimegugo mana yake nimelerewa.ivView attachment 3062881
Bumbuclot ina maana gani Bumbaclot ni lugha ya Kijamaika sawa na "douchebag" au "mother fucker," mara nyingi hutumika kama kipingamizi ili kuonyesha kuchukizwa au kufadhaika. Pia imeandikwa bumboclaat au bomboclaat, kati ya tahajia zingine. Ni uchafu wa matusi ambao unarejelea aidha pedi za hedhi au karatasi ya choo.
 
Harmonize hata akiongea tu unajua kichwani hamnazo.
 
Back
Top Bottom