BASATA hawakuelewa matusi ya Harmonize mbele ya viongozi wa nchi?

Nihonge kwani ina nini ndani,nihonge kwani ina TV.....Mheshimiwa Wzr
Mwanaume wa hovyo wewe........Venessa
 
Kuna nyimbo yake flani hua anarudia rudia kutaja neno "rungu" alafu wenye mamlaka wanachekelea....
 
Pale hapakuwa Jamaica.Neno **** kwa Tanzania ni tusi kubwa ila Ghana **** ni jina La mtu.Kuna kesi moja maarufu kwenye land law inaitwa **** v.****.Kuna kesi maarufu Tanzania ya bwana Kukutia Ole Pumbuni mbona siyo tusi?
 
Kuonesha kuwa haikua bahati mbaya kwa harmonize kutukana kwa kurudiarudia,alidiriki hata kuongea upuuzi kwa kutamka kupenda wanawake wenye makalio makubwa..huku akijua pale sio club na watu wa rika zote wanatazama yale matangazo. Hivi hawa BASATA wanajielewa kweli?πŸ‘ŒπŸΏ
Nimegugo mana yake nimelerewa.ivView attachment 3062881
Bumbuclot ina maana gani Bumbaclot ni lugha ya Kijamaika sawa na "douchebag" au "mother fucker," mara nyingi hutumika kama kipingamizi ili kuonyesha kuchukizwa au kufadhaika. Pia imeandikwa bumboclaat au bomboclaat, kati ya tahajia zingine. Ni uchafu wa matusi ambao unarejelea aidha pedi za hedhi au karatasi ya choo.
 
Harmonize hata akiongea tu unajua kichwani hamnazo.
 
Sidhani kama harmo anaelewa kama alitukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…