Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
SingeliMaadili ya kitanzania ni yapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SingeliMaadili ya kitanzania ni yapi
Team mond tunawapungiaAnachokifanya Diamond ni mashart ya mganga from Hollywood.....kutoka kule ili ufanikiwe katika tasnia ya burdan lazima uhamasishe moja wapo ya hv vtu vtatu.1.Ngono 2.Uchawi. 3.Mauaji...angalia filamu zote duniani, na miziki yote lazima ihamasishe kimoja wapo...
nipo against na wewe, nafikiri BASATA wanatatizo.neno nyegezi na sawa na maeneo mengine,mfano kinondoni watu huita kino,nyegezi huita nyege.Dai kafanya kosa gani?Kwanza Nilikua najiuliza huyu dogo mambo yote ya hovyo anafanya na kusamehewa lakini bado mnambeba tu?
Mbona wasanii wengine hawafanyi ujinga kuanzia maisha halisi hadi kwenye mitandao ya kijamii?
Mlichofanya mnastahili pongezi kwani mnasimamia maadili na ukiangalia nyimbo zote za huyu msanii wa hovyohovyo kitabia ni mbovu tu maadili hazina Watanzania tujifunze kussuport watu wanaojiheshimu kwenye jamii.
Ubongo wako umechanganyika na makamasi.Sasa akifungiwa mtoto wako atasoma wapi?, unajua kwamba diamond analipa kodi kupitia muziki?
Upunguwani mwingjne huu, kabla Diamond uchwara hajazaliwa shule zilikuwa hakuna?Sasa akifungiwa mtoto wako atasoma wapi?, unajua kwamba diamond analipa kodi kupitia muziki?
Kuna watu wana ushabiki wa kipumbavu, wanadhani huyo msanii ni bora kuliko jamii. Pumbavu kabisa.Upunguwani mwingjne huu, kabla Diamond uchwara hajazaliwa shule zilikuwa hakuna?
Na watoto walikuwa hawasomi shule?
Utaira wa kumuhusudu mtu kama Mungu mnutoaga/kuununua wapi ninyi vimeo?
Nyuma ya pazia kuna nini hasa hadi avuevue nguo jukwaani abakiwe na boksa tu?Kaanza kufanikiwa kabla "hajahamasisha" hayo unayoyasema
Kama vile brain memory yako imeambatana na mimi?Mashabiki zake nao akili zao kama zake tu
Kimsingi watanzania tuna life la kinafki,hizi nyimbo zenye matusi hazijaanzishwa na diamond.Mmonyonyoko wa maadili hajauaanzia kwa Diamond.kumfungia diamond na kuwaacha watu waangalie utitiri wa mafilamu ya ngono yaliyozagaa mitaani kama Game of thrones,spartacus,empire na mengine mengi ni sawa na kuficha sura wakati uko uchi.Umeshajiuliza ni nyimbo ngapi za nje tunazisikiliza zina matusi ya moja kwa moja kuliko hyo nyege ya diamond?.Diamond ana mengi ya kujirekebisha lakini kumfungia asifanye mziki tena mwanamziki aliyefikia peak ya mafanikio halikubaliki hata kidogo.Kwanza Nilikua najiuliza huyu dogo mambo yote ya hovyo anafanya na kusamehewa lakini bado mnambeba tu?
Mbona wasanii wengine hawafanyi ujinga kuanzia maisha halisi hadi kwenye mitandao ya kijamii?
Mlichofanya mnastahili pongezi kwani mnasimamia maadili na ukiangalia nyimbo zote za huyu msanii wa hovyohovyo kitabia ni mbovu tu maadili hazina Watanzania tujifunze kussuport watu wanaojiheshimu kwenye jamii.
Muziki wa Mond unapigwa sehemu nyingi tu hasa msimu huu. Kawaambie wanao na basata. Kwanza mchawi weweAkili yako ndogo kama huyo diamond tu
Mijitu imeiba pesa za escrow IPO mtaani inatamba,..mijitu imepiga pesa Richmond,IPO mtaani inatamba,??!!Kwanza Nilikua najiuliza huyu dogo mambo yote ya hovyo anafanya na kusamehewa lakini bado mnambeba tu?