Dindira
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 2,912
- 3,466
Mambo yako ya kigogo peleka Dodoma. Akifungiwa wewe utapata nini?Kwanza Nilikua najiuliza huyu dogo mambo yote ya hovyo anafanya na kusamehewa lakini bado mnambeba tu?
Mbona wasanii wengine hawafanyi ujinga kuanzia maisha halisi hadi kwenye mitandao ya kijamii?
Mlichofanya mnastahili pongezi kwani mnasimamia maadili na ukiangalia nyimbo zote za huyu msanii wa hovyohovyo kitabia ni mbovu tu maadili hazina Watanzania tujifunze kussuport watu wanaojiheshimu kwenye jamii.