luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Baraza la sanaa Tanzania niwaombe mzitazame kwa jicho la.umakini ktk muktadha wa maadili ya taifa letu, izi tamthilia za bongo ambazo zina rushwa ktk Pay tv hasa hasa za Dstv,
Zile.tamthilia naona zipo nje ya maadili yetu,. Izi story message zao ni MAPENZI MAPENZ .
Mavazi yao hasa ya wadada ni vimini, suruali za kubana zinazo akisi maumbo , hii kitu kiukweli ina haribu kizazi chetu cha baadae (watoto).