BASATA inamtafuta Msanii Linah Sanga

BASATA inamtafuta Msanii Linah Sanga

Mkikaaga kwenye vikao vyenu mnasema yule mwanamke anazingua au mnasema wanawake wanazingua? Mnasema mwanamke anakaa uchi au mnasema wanawake?
Siwezi ku-generalize Wakati aliekaa uchi Anajulikana, Yaani Ukae Uchi Ww Tuseme Wanawake Wote Wameketi Uchi?
 
Wakuu Taarifa Zilizopo Ni Kwamba, Baraza La Sanaa Tanzania (Basata) wanasaka Kwa Udi na Uvumba Msanii Linah Sanga Kwa Kupiga Picha Ambazo Sio Nzuri Kwenye Jamii. Je Linah Sanga amekosea Kupiga Picha Kama Hii?View attachment 1825622
Hiyo pic mbona ya kawaida kulingana na mazingira aliyopo BASATA waache ushamba..
labda alitaka kuvua samaki kwenye swimming pool
 
Kuvaa uchi avae mwingine hlf wanawake wote waonekane hawana akili, napingana na Hilo.
Kila mtu ana uchi wake...wewe ukikaa uchi utaaibika wewe na si mwingine.
Ni sawa na kusema video ya Amber Ruth imekuathiri unaona Kama ni wewe umeaibika. Haipo hivyo.
By the way maumbile ya uchi ni yale yale
.
.
Mentality ya ajabu sana.
Ramani ni moja elewa
 
Jamani mashine imedinda ghafla mishipa inaniuma, Kwanini Lina unaniumiza kiasi hiki,km upo humu ndani njoo PM tuyajenge.Hata km ni kukopa nitakopa tu, maana sio kwa picha hiyo.
 
Ni sawa, lkn sitaaibika mimi Kama mwenzangu kakaa uchi.
Kwahiyo tuseme vile James delicious anavyojichezesha na kujibebisha na ushoga wake wanaune wote mnaonekana mashoga
Tofautisha kati ya ramani na vitendo.....
 
Wakuu Taarifa Zilizopo Ni Kwamba, Baraza La Sanaa Tanzania (Basata) wanasaka Kwa Udi na Uvumba Msanii Linah Sanga Kwa Kupiga Picha Ambazo Sio Nzuri Kwenye Jamii. Je Linah Sanga amekosea Kupiga Picha Kama Hii?View attachment 1825622
Kwani Linah kaimba wimbo mbaya? Basata waache kuwapangia wasanii namna ya kuvaa wao wabaki kwenye mistari ya mashairi ya nyimbo tu, ipo siku watathubutu kuwapangia hata vyakula
 
Back
Top Bottom