BASATA kaeni mkao wa kula, Video ya Chura anarukaruka, ikitoka fungia kisha tia Kapuni

Vyura wa snura walikuwa hata wakiwa wagonjwa wanaruka ruka vitandani
 
Mkemia mkuu angechukua hatua kumpina Snura vinasaba atakuwa co mchaga,hakuna mchaga anaeweza kufanya hivyo,mama wa kichaga alich.....puk.....aaa wapi,mwachieni chura atambe,usikonde dada mbona wakati wa kampeni walikuachia watakuachia tu ombea mbunge afe twende kwenye kampeni huu huu wimbo wa chura wataugeuza uwe wa chama.
 
Hongera kwa kuuangalia wimbo mzima na pengine zaidi ya mara moja na kutoa ushauri wako. Ngoja na sisi tuutizame tuone kasoro zenye kasoro ili tuungane mkono ktk hili.
 
Na lileblijachama linapendaga sana mambo ya vyura
Frogi izi jampingi jampingi frogi, frogi izi baunsingi baunsingi frogi..... Its me Snura of Disasters[/qoute]
 
Unajifanya wewe ndio unajua zaidi maadili kuliko wengine. Acha kujikomba wewe ukuu wa wilaya hutapata ngo!!
 
yaani hawa wasanii tangu washirikishwe kwenye kampeni basi wanajikuta na wao ni viongozi, haya sasa aende kwa mama samia akawasemelee waliomfungia.
halafu anataka kuongea na waandishi wa habari kama vip wangemfungia hata kuzungumza hadharani tu...
 
Chura pambee huwa nakata mauno hatareeee mwanamke kiuno feniiii
 
Mweeeeee bunge wamegoma kutuonyesha live na hawa wengine kwa ukatili wao wametuondolea na chura wetu ivi tutakua wageni wa nani sisi mpaka burudani ya kuongeza siku mnaifuta basi rudisheni bunge movie tushachoka maana soon mtasema hakuna kulala wawili wawili ilimradi mtutenge na wake zetu [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Pity to see it that way, it's only a matter of time before Nicky Minaj or Beyonce take over the dance make millions from it and people of Tanzania will be spending their hard earned cash buying music DVDs from these americans.
 
Churaaaaaaaaa. .

Nimemkumbuka jamaa wa Ze comedy. ..
 
Sasa wewe unanufaika na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…