ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kwa kweli wanatia genye balaa !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahahaKi-bob marley...Ki-bob marley
Dissection mkuuTena akafanyiwe bisection na wanafunzi wa PCB
Uchezaji wao ni wamejipanga mistari miwili wanacheza staili ya kwaya tu hata sio mbay kwa kweliKwani wanachezaje...!???
Hahahahaaa,nimecheka sana aseeeeeBasata wanavyopenda nyuchi, utafungiwa kwenu wao watakuwa wakiendelea kuutumbulia mimacho kila siku asubuhi huku midushelele yao ikiwa imesimama wima kama askari anayekaguliwa
**USHAURI WA BURE KWA BASATA**Heshima kwenu wakuu,
Hii video ya Snura ya Wimbo wa Chura anarukaruka, ikitoka tu naomba ifungiwe. Mkishaifungia mumpige msanii marufuku ya kujihusisha na Muziki kwa Miaka mitatu. Hatuwezi endelea kulealea huu ujinga.
Kama mliweza kuufungia Wimbo wa Roma wa Viva Roma Viva ambao haukua na tatizo katika Swala la maadili, naamin huu wimbo ukitoka msanii atawekwa mbaroni hata siku mbili.
Imetosha sasa kwa hawa dada zetu kujifanya eti wamepinda, wao ndo wanajua kukata mauni, wao ndo wanajua kutembea uchi.
Naomba BASATA msiangalie Nyani usoni