Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hakuna tena mambo ya kufinyia kwa ndani. Wasanii itabidi wawe wabunifu zaidi kufikisha maudhio yao ya ki Freemason kwenye jamii.Kwahiyo saizi mambo ya Nyegezi hatuto sikia tena?
Safi sana, Pia wamulike na kwenye videos huko kuna watu wanacheza na vichupi vyenye kamba, tena kamba nyembambaKuanzia tarehe 1 Mei 2021 BASATA wanaanza kutumia rasmi kanuni ya kuzipitia/kuchuja nyimbo mpya za Wasanii wote Tanzania kabla ya kupelekwa kwenye vituo vya Radio/TV
“hii sio sheria mpya, ilikuwepo kabla ila haikua imeanza kutekelezwa, wimbo ukipitishwa Msanii anapewa cheti”
Chanzo: MillardAyo
My take: Wasanii walijisahau sana kwa kutunga lyrics zisizokuwa na maadili na kusababisha mmomonyoko wa maadili nchini.
Nyimbo nyingi za kizazi kipya hazisikiliziki asilani kwa watu wenye kujielewa.
Kama kweli ni ya ki Freemason kweli, basi BASATA hawawezi kuyazuia kwa namna yoyote ile.Hakuna tena mambo ya kufinyia kwa ndani. Wasanii itabidi wawe wabunifu zaidi kufikisha maudhio yao ya ki Freemason kwenye jamii.
Safi Sana