BASATA lamfuta usajili “Dudubaya”

BASATA lamfuta usajili “Dudubaya”

hawa basata wanayumba tu, mbona akina diva, mwijaku na lokole wanatukana watu daily hawajafutiwa leseni za kazi?? huyu bwana anaonewa inshort
Kwani hao nao ni wasanii?
Hv ukiongeaongea na kuhojiwa na online tvs unakuwa wewe msanii tayari?
 
Wangevimulika na hivyo vi media na Watangazaji wao wanaomuhoji kila kukicha bila hata ku balance taarifa.....kwa mfano anavyosema CCM ilitoa 500milioni Yamoto bendi wagawane.

Hivi kuna pesa zinatoka kiulaini hivyo. Na kwa bahati mbaya Bongo wenye uwezo wa kutafakari taarifa ni wachache wengi wataona ni ukweli.
 
Tatizo sio kutukana,, tatizo ni anapotukania..

Maana hakuna asietukana hata hivyo vijizee vya basata vinatukana huko maghetoni kwao
 
Back
Top Bottom