BASATA mfungieni Lady Jaydee anahamasisha uvutaji bangi hadharani

Tusitafute technicalities na kujificha kwenye plain meaning za maneno, hapa tutumie overriding objective principles, tufuate substantive justice je vijana wetu wanapousikia mstari huo wanahamasika kufanya nini katika akili ya kawaida?
Mkuu naona unawapa statutory interpretation
 
Ulisha wahi kuwasimulia humu wanaoimba matusi?
 
 
Wivu na chuki binafsi zinakusumbua.Kwani bangi ni mbaya kiasi hicho had utake apewe adhabu yote hiyo kwakuitaja tu.Kuna wabunge waliongea hadi bungeni kua ihalalishwe kama zao la biashara nao vip wafanyejwe?.Swala la bangi kua mihadarati ni sera tu ya nchi ata kesho inaweza kubadilishwa kwahiyo acha kuiona bangi au kuitaja kama jambo ovu sana.
 
Jikite kwenye kuhamasisha vijana wajitambue na wawe na akili huru na maarifa yakutambua jema na baya.Tusiishi kwenye zama zakujiona niwatu tusiojielewa hadi tuwekeane mipaka yakuona nakusikia.Kwasababu hutaweza kufungia vyote,utafunga wimbo wa Jide vijana watasikia wimbo wa Lil wyne nazingine uko duniani sasa utakua umerekebisha nini.
Tusitafute technicalities na kujificha kwenye plain meaning za maneno, hapa tutumie overriding objective principles, tufuate substantive justice je vijana wetu wanapousikia mstari huo wanahamasika kufanya nini katika akili ya kawaida?
 
BASATA yenyewe haina makali yoyote, ni Wazembe tu

Kwanini wasijudge wimbo kabla ya kutoka wanasubiri baada ya kusikilizwa ndio wakosoe

Wajinga kabisa hawa.
 
Wa kwanza kufungiwa alitakiwa awe yule mtu aliyewauliza wale watu kama wanataka kupanuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…