Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Mkuu siku hizi wote wanaimba mambo ya chumbani hadharani na watoto wanaongoza kuzikalili.Hizi nyimbo singeli na bongo fleva huwa sisikilizi kabisa na hata nikiwa mahali wakaweka najisogeza pembeni hazina maadili kabisa.