Mkuu siku hizi wote wanaimba mambo ya chumbani hadharani na watoto wanaongoza kuzikalili.Hizi nyimbo singeli na bongo fleva huwa sisikilizi kabisa na hata nikiwa mahali wakaweka najisogeza pembeni hazina maadili kabisa.
Inasikitisha sana. Ila basata kazi yao kufungia nyimbo zinazokemea maovu ya serikali tu. Zinaloeneza moral degradation zinaendelea kupeta.Mkuu siku hizi wote wanaimba mambo ya chumbani hadharani na watoto wanaongoza kuzikalili.
Yani siku hizi siyo singeli siyo bongo fleva, yani ujinga tu kwakweli kuna nyimbo ukizisikia ukwia na mtu unayemheshimu unaona noma.Inasikitisha sana. Ila basata kazi yao kufungia nyimbo zinazokemea maovu ya serikali tu. Zinaloeneza moral degradation zinaendelea kupeta.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni kweli mkuu.Tatizo kubwa wasanii wengi wa singeli hawajulikani.
Unaskia wimbo unakiki Sana mtaani, kumbe kaimba kijana wako wa form TWO apo uani kwako.
Kuna huo unaitwa "utakuja" unatrend sana
Na unga amepakaNa jamaa anadai kashabwia hadi MKONGO.
Mkuu singeli sio nyimbo za watu wa pwani.Hizi nyimbo za watu wa pwani wanaimba kama watu wanakimbia mchakamchaka fulani hivi zinaitwa Singeli.
Unaweza kuprove?Huko pwani kucheza ngoma na hayo manyimbo ya kijinga kijinga ndo kapaumbele chao, ndo maana madaktari na maprofesa wenye asili ya pwani inabidi uwatafute kwa tochi, sasa ukikaa uswahilini lazima ukutane na changamoto kama hizi.
Sehemu ya kwanza kuzisikia ni kisarawe huko Kabla ya hapo huko Baraka sikuwahi kuzisikia.Mkuu singeli sio nyimbo za watu wa pwani.
Hizo singeli kila mtu anaimba mbona.
Hizo nyimbo ni za watu wa mitaani yaani uswahili na sio pwani.🤣🤣🤣🤣pwani hyo unasikia mwaga maji tucheze kama kambale hapo sehemu za siri zinakuwa nje zote
Hizo nyimbo unaweza kuzisikia popote hivyo kuzisikia kisarawe kwa mara ya kwanza haijustify ni nyimbo za pwani.Sehemu ya kwanza kuzisikia ni kisarawe huko Kabla ya hapo huko Baraka sikuwahi kuzisikia.
Sasa wazaramo hawaimbi singeli bali ngoma zao za asili.Hata waimbaji huwa naona wanaimba kizaramozaramo hivi
Huko mikoani kuna sehemu nyingi mno za uswahilini lakini huwezi kusikia huo uchafu.Hizo nyimbo unaweza kuzisikia popote hivyo kuzisikia kisarawe kwa mara ya kwanza haijustify ni nyimbo za pwani.
Hizo nyimbo chimbuko lake ni uswahilini.
Sasa wazaramo hawaimbi singeli bali ngoma zao za asili.
Hao wanaoimba singeli labda wanaiga miondoko ya ngoma za watu wa pwani na sio kwamba ni nyimbo za pwani.
Considering wazaramo hawaimbi matusi.
Hizo nyimbo unaweza kuziita za uswahilini lakini sio za pwani.
Bora hata kusikiliza...... Ukianvalia video sasa daaa.... Wanakishika nyeti zao utazani zinawawasha balaa🤣🤣Hizi nyimbo singeli na bongo fleva huwa sisikilizi kabisa na hata nikiwa mahali wakaweka najisogeza pembeni hazina maadili kabisa.