Diamond Yeye ni Level nyingine.angeachana na hawa wasichana wa Uwanja wa Fisi akachukue level zake kama kina Mimi Mars na Maua Sama. Huyu Gift hata akiongea ni Utadhani ni Chokoraa.
Endelea kuota kuanguka kwa mwingine wakati ww hukuwahi hata kufikilia kusogea alikoDiamond anguko lake liko karibu. Ni kosa sana kufanya kazi bila professionalism.
Ujanja ujanja huwa haudumu sana kwenye kazi kama hizi.
Unforgetable
Nenda basata watakuonyesha uwape hiyo laki wakichanganya na fain ya gigi wawe na 1,100,000/=Hivo kosa la gigy pale ni nini.nmetafuta utupu wa gigy sijauona.aliuona aoneshe hapa nimpe laki
Kinakuwa chakula cha "WanaBASATA" wa kiume kwa miezi 6😂Kwa mfano akiwa hana hio 1m watamfunga jela au watamfanya nini?
Gigy mavazi yake hayana maadili, wamgonge tu nyundo
[emoji23][emoji23]Wapinzani wametuchelewesha sana
Wewe umeuona huo utupu?.basata wametoa hukumu ,mimi sijakubaliana na hukumu ya basata kwakua madai yao si ya kweliNenda basata watakuonyesha uwape hiyo laki wakichanganya na fain ya gigi wawe na 1,100,000/=
gigi samahan japo haupo sawa naomba kuuliza unaenda lin uko basata nikusindikize?Uchi uko wapi hapo?mimi naona nguo yenye nakshi za utupu.View attachment 1669207
Vyombo vya habari vya nchi hii huwa havikatishi matangazo ya vitu vya kipumbavu ila issue sensitive kama Matangazo ya BBC na DW utaona wanavyowashwawashwa kukatakata matangazo.Wangekata..mbona kwenye vyombo vya nje vinavyoungana na media za bongo huwa kuna live censorship?..Lissu alikuwa akianza kutema tu cheche wanakata.