BASATA nao wamshughulikia Gigy, yamfungia kujishughulisha na sanaa kwa miezi sita na faini ya milioni 1

BASATA nao wamshughulikia Gigy, yamfungia kujishughulisha na sanaa kwa miezi sita na faini ya milioni 1

Mashabiki wa wasafi media wanampenda ndio maana yuko wasafi.
Diamond Yeye ni Level nyingine.angeachana na hawa wasichana wa Uwanja wa Fisi akachukue level zake kama kina Mimi Mars na Maua Sama. Huyu Gift hata akiongea ni Utadhani ni Chokoraa.
 
Tatizo Hawa wadada sijui hawana washauri wavae mavazi ya namna gani kwenye kadamnasi ya watu, pole Sana kwa wasafi tv
 
Uzuri namba tunaisom wote. Kama vipi mitano iwe milele tu akikataa tumlazimishe.
 
Hivo kosa la gigy pale ni nini.nmetafuta utupu wa gigy sijauona.aliuona aoneshe hapa nimpe laki
Nenda basata watakuonyesha uwape hiyo laki wakichanganya na fain ya gigi wawe na 1,100,000/=
 
Ifikie mahala Tz iache ukuda burudani isiwe na mipaka jamani
Tena wafungue casino za watu wawe uchi tufurahie maisha ebooo
 
nchi ya kilokole hii, wanavaaje nusu uchi hadharani? ila ashukuru ni Tz
Ingekua Saud Arabia afu unaonyesha vitako vyako hadharani namna hiyo, mbona wana...
kugonga mawe hapohapo stejini then wanakutundika, yani ungekuta saizi.......
tunazungumzia mengine.
Ila hawa si ndo walikuwa wanajikomba na kuwapigia kampeni? ina maana.........
hawajaonewa huruma na kujikomba kote kule? mhhh kumbe ni swala la mda tuu.....
sikujua ka ipo siku watajakalia kuti la moto, laah!!! kumbe namba inasomwa na wote....
duh Aloo!!! ama kweli ukistaajab ya wasafi na kina gigy utayaona ya Basata na Tcra
 
Nenda basata watakuonyesha uwape hiyo laki wakichanganya na fain ya gigi wawe na 1,100,000/=
Wewe umeuona huo utupu?.basata wametoa hukumu ,mimi sijakubaliana na hukumu ya basata kwakua madai yao si ya kweli
 
Uchi uko wapi hapo?mimi naona nguo yenye nakshi za utupu.
IMG-20210105-WA0045.jpeg
 
Wangekata..mbona kwenye vyombo vya nje vinavyoungana na media za bongo huwa kuna live censorship?..Lissu alikuwa akianza kutema tu cheche wanakata.
Vyombo vya habari vya nchi hii huwa havikatishi matangazo ya vitu vya kipumbavu ila issue sensitive kama Matangazo ya BBC na DW utaona wanavyowashwawashwa kukatakata matangazo.
 
Back
Top Bottom