BASATA nao wamshughulikia Gigy, yamfungia kujishughulisha na sanaa kwa miezi sita na faini ya milioni 1

Hakuhalalishi Mavazi ya "Kikahaba" hadharani. Mwanamke aheshimiwe. Unapovaa nguuo imechorwa nyonyo na chuchu na Uke unahamasisha nini? Kwenye nude Clubs Sawa siyo Uwanjani. TCRA Big Up sanaaaaaaa!
 
Naona mashetani yalimpanda, kumbe awali alikua na dera
 
Diamond atamlipia

Halafu si anakaa masaki[emoji849]
 
Kabisa kabisa naafiki yani Kuna watu akisimama nao show anaipa heshima hawa awaache waende kwenye vigodoro
Diamond Yeye ni Level nyingine.angeachana na hawa wasichana wa Uwanja wa Fisi akachukue level zake kama kina Mimi Mars na Maua Sama. Huyu Gift hata akiongea ni Utadhani ni Chokoraa.
 
Anachokipitia gigy kwa sasa kama angekuwa ni msichana nyoronyoro basi angeshakufa kwa lawama na mawazo.
 
Wana uhakika hadhira ilichukia hilo jambo?
 
Ifikie mahala Tz iache ukuda burudani isiwe na mipaka jamani
Tena wafungue casino za watu wawe uchi tufurahie maisha ebooo
Nimepata msisimuko mmoja hatari [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Wasafi wanaacha wasanii wazuri wanojua kutoa burudani zenye staha, kina Jide, Mwasiti, Rubi, wanakomaa na hao wadangaji wasiojua hata kuimba ngoja tu wajifunze wala TCRA msilegeze kama kaza hapo hapo dadadeki yaani uongozi wa ile TV inaongozwa kihuni sana yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…