BASATA nao wamshughulikia Gigy, yamfungia kujishughulisha na sanaa kwa miezi sita na faini ya milioni 1

BASATA nao wamshughulikia Gigy, yamfungia kujishughulisha na sanaa kwa miezi sita na faini ya milioni 1

nchi ya kilokole hii, wanavaaje nusu uchi hadharani? ila ashukuru ni Tz
Ingekua Saud Arabia afu unaonyesha vitako vyako hadharani namna hiyo, mbona wana...
kugonga mawe hapohapo stejini then wanakutundika, yani ungekuta saizi.......
tunazungumzia mengine.
Ila hawa si ndo walikuwa wanajikomba na kuwapigia kampeni? ina maana.........
hawajaonewa huruma na kujikomba kote kule? mhhh kumbe ni swala la mda tuu.....
sikujua ka ipo siku watajakalia kuti la moto, laah!!! kumbe namba inasomwa na wote....
duh Aloo!!! ama kweli ukistaajab ya wasafi na kina gigy utayaona ya Basata na Tcra
Hakuhalalishi Mavazi ya "Kikahaba" hadharani. Mwanamke aheshimiwe. Unapovaa nguuo imechorwa nyonyo na chuchu na Uke unahamasisha nini? Kwenye nude Clubs Sawa siyo Uwanjani. TCRA Big Up sanaaaaaaa!
 
Naona mashetani yalimpanda, kumbe awali alikua na dera
IMG-20210105-WA0005.jpg
 
Kabisa kabisa naafiki yani Kuna watu akisimama nao show anaipa heshima hawa awaache waende kwenye vigodoro
Diamond Yeye ni Level nyingine.angeachana na hawa wasichana wa Uwanja wa Fisi akachukue level zake kama kina Mimi Mars na Maua Sama. Huyu Gift hata akiongea ni Utadhani ni Chokoraa.
 
Anachokipitia gigy kwa sasa kama angekuwa ni msichana nyoronyoro basi angeshakufa kwa lawama na mawazo.
 
Wana uhakika hadhira ilichukia hilo jambo?
 
Ifikie mahala Tz iache ukuda burudani isiwe na mipaka jamani
Tena wafungue casino za watu wawe uchi tufurahie maisha ebooo
Nimepata msisimuko mmoja hatari [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Wasafi wanaacha wasanii wazuri wanojua kutoa burudani zenye staha, kina Jide, Mwasiti, Rubi, wanakomaa na hao wadangaji wasiojua hata kuimba ngoja tu wajifunze wala TCRA msilegeze kama kaza hapo hapo dadadeki yaani uongozi wa ile TV inaongozwa kihuni sana yaani.
 
Back
Top Bottom