BASATA nao wamshughulikia Gigy, yamfungia kujishughulisha na sanaa kwa miezi sita na faini ya milioni 1

It was about time. Yule sio msanii bali ni “kahaba” aliyekubuhu. Walidhani CCM itawalinda na kuwatetea baada ya kampeni kuisha?

Sasa awe free kwenda kuuza kwenye macasino maana kule ni ruksa kutembeza utupu bila vikwazo.
100% sahihi kabisa.
Yule ni kahaba
Eti msanii ana nyimbo ngapi alizoimba!!?
 
Hicho kitendo ni jinai pia, amecorrupt public morals.

Polisi linasubiria nini hapo, atikishwe Mahakamani akajibu mashitaka, Kama wale waliokula samaki chumba I wakatupia mitandaoni.
 
It was about time. Yule sio msanii bali ni “kahaba” aliyekubuhu. Walidhani CCM itawalinda na kuwatetea baada ya kampeni kuisha?

Sasa awe free kwenda kuuza kwenye macasino maana kule ni ruksa kutembeza utupu bila vikwazo.
kabisa yule demu anamambo ya ajabu saana
 
Back
Top Bottom