Yaani ingekua hizo bikini zimevaliwa mlimani city tungesema ni kweli haikustahili. Sasa beach nako ni sehemu ya kuhoji bikini wakati hata vijijini ziwani watu wanakaa hata uchi wa mnyamaBasata wana ushamba mwingi sana, ina maana hawafahamu bikini inavaliwa wapi hasa? Kwanza wafahamu nchi imetoka mbali, huko nyuma watu walioga mitoni, ziwani....
Hii English balaaWakuu ishu ya BASATA na Wavuvi Kempu imeniacha na maswali najiuliza hawa BASATAwanaendaga beach za wapi hadi washangae bikini ufukweni.
Kuna beach watu hawavai bikini? Tena bora hata wavuvi camp watu wote ni watu wazima hakuna watoto,ukienda pembeni tu beach za bure watu wanapiga bikini na kuna watoto.
Wanataka watu wapige jeans beach au madela? Wameacha kukemea ile party ya utupu ya masela walovaa jezi za yanga wakakemee bikini beach kweli? Anyway.
View attachment 2462576