maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Wakuu ishu ya BASATA na Wavuvi Kempu imeniacha na maswali najiuliza hawa BASATAwanaendaga beach za wapi hadi washangae bikini ufukweni.
Kuna beach watu hawavai bikini? Tena bora hata wavuvi camp watu wote ni watu wazima hakuna watoto,ukienda pembeni tu beach za bure watu wanapiga bikini na kuna watoto.
Wanataka watu wapige jeans beach au madela? Wameacha kukemea ile party ya utupu ya masela walovaa jezi za yanga wakakemee bikini beach kweli? Anyway.