BASATA wanaendaga beach za wapi?

BASATA wanaendaga beach za wapi?

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Wakuu ishu ya BASATA na Wavuvi Kempu imeniacha na maswali najiuliza hawa BASATAwanaendaga beach za wapi hadi washangae bikini ufukweni.

Kuna beach watu hawavai bikini? Tena bora hata wavuvi camp watu wote ni watu wazima hakuna watoto,ukienda pembeni tu beach za bure watu wanapiga bikini na kuna watoto.

Wanataka watu wapige jeans beach au madela? Wameacha kukemea ile party ya utupu ya masela walovaa jezi za yanga wakakemee bikini beach kweli? Anyway.

FlFmTzPXwAAzhDW.jpeg
 
Basata kama wasanii wao wanapenda kiki serikali isje kuwafuta wakakosa ugali
 
Basata wana ushamba mwingi sana, ina maana hawafahamu bikini inavaliwa wapi hasa?

Kwanza wafahamu nchi imetoka mbali, huko nyuma watu walioga mitoni, ziwani, madimbwini na baharini wakiwa uchi wa mnyama bila hata bikini na ilikuwa kawaida tu hakuna kushangaana wanaume kwa wanawake.

Mpaka miaka ya sasa kuna watu wanaoga mtoni pale wanaume na pale wanawake hakuna kutamaniana kingono, unakuta wanawake wanaoga wameacha matiti nje nje hawaogopi kutazamwa na mwanaume asiye jamii yao
 
Basata wana ushamba mwingi sana, ina maana hawafahamu bikini inavaliwa wapi hasa? Kwanza wafahamu nchi imetoka mbali, huko nyuma watu walioga mitoni, ziwani....
Yaani ingekua hizo bikini zimevaliwa mlimani city tungesema ni kweli haikustahili. Sasa beach nako ni sehemu ya kuhoji bikini wakati hata vijijini ziwani watu wanakaa hata uchi wa mnyama
 
Kule bwawa la nyumba ya mungu mkoani kilimanjaro na mkoani manyara ukipita bembezoni mwa bwawa hilo watu wanaoga wakiwa uchi wa mnyama hawajavaa chupi wala brazia, unaangalia binti kifua chuchu saa sita, mama mtindiga umening'inia hawana wasiwasi nawe unapotezea unapita unapotezea kwa kuwa ni sehemu maalumu kubaki uchi haishangazi ni kawaida
 
Wavuv camp ni full laana
Mashg,wamly,kedekede
Wakiachiwa waendele na madude yao
Hali itakuwa mbaya

Ova
 
Wakuu ishu ya BASATA na Wavuvi Kempu imeniacha na maswali najiuliza hawa BASATAwanaendaga beach za wapi hadi washangae bikini ufukweni.

Kuna beach watu hawavai bikini? Tena bora hata wavuvi camp watu wote ni watu wazima hakuna watoto,ukienda pembeni tu beach za bure watu wanapiga bikini na kuna watoto.

Wanataka watu wapige jeans beach au madela? Wameacha kukemea ile party ya utupu ya masela walovaa jezi za yanga wakakemee bikini beach kweli? Anyway.

View attachment 2462576
Hii English balaa
 
BASATA wawatafutie fundi nguo awe anawashonea wavuvi kempu vitenge vya kuogelea navyo vyenye maadili
 
Dunia inakimbia sana watu bado wanabaki nyuma, wanaoenda huko ni watu wazima sio watoto na kama mtu hana interest hawezi kufika huko
 
Back
Top Bottom