sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Imekua kero sana, nyimbo nyingi lazima wadada wainame mfano wa kuchuma mboga au walale mfano wa chura kisha wanatingisha makalio, huu ni udhalilishaji na kuchochea mmomonyoko wa maadili, kingine hizi nyimbo zinatumika katika mabasi ya mkoani, imekua tabu ukiwa na watu unaowaheshimu. Kutafutwe style nyingine, kuokoa kizazi na uchafu.
Pia soma:
Zanzibar: Marufuku kucheza kwa kulowanisha nguo
Pia soma:
Zanzibar: Marufuku kucheza kwa kulowanisha nguo