BASATA wapige marufuku wadada kucheza kwa kuinama wakitingisha makalio

Imekua kero sana, nyimbo nyingi lazima wadada wainame mfano wa kuchuma mboga au walale mfano wa chura kisha wanatingisha makalio, huu ni udhalilishaji na kuchochea mmomonyoko wa maadili, kingine hizi nyimbo zinatumika katika mabasi ya mkoani, imekua tabu ukiwa na watu unaowaheshimu,
Kutafutwe style nyingine, kuokoa kizazi na uchafu
Chaputa inakuathiri na sasa unatafuta pa kutokea.
 
Kuna katoto ka miaka mitano. Aisee kanainama kanakata mauno hadi nikajishangaa inakuaje mimi siwezi
Hahahaha

Bia, Kamnyweso, K Vant, Balimi, Energy vinakata mafuta ya kiunoni ujue😀
 
Kwa kweli hii shule sijaijua,ila lazima itakuwa dar tu

Ova
Huko Dar kwa malezi ni pagumu sana. Mungu atusaidie, yaani Baba unatoa pesa zako na unashindwa hata kula na kuvaa vizuri ili mtoto wako asome alafu ndio huyo wa kike hapo ameshikishwa ukuta. Mungu atusaidie kwa kweli.
 
Tulia wewe wengine tunapenda hizo mambo ugonjwa wa wanaume wengi huo

Lile uno na tako ndembe ndembe la Hamisa Mobeto kwenye X wangu lifungiwe na BASATA kweli?

Ngoja CHAPUTA waje nao watie neno hapa
 
Imekua kero sana, nyimbo nyingi lazima wadada wainame mfano wa kuchuma mboga au walale mfano wa chura kisha wanatingisha makalio, huu ni udhalilishaji na kuchochea mmomonyoko wa maadili, kingine hizi nyimbo zinatumika katika mabasi ya mkoani, imekua tabu ukiwa na watu unaowaheshimu,
Kutafutwe style nyingine, kuokoa kizazi na uchafu
We Hua unaangalia makalio hayo ukiwa wapi?
 
Waacheni hao Warembo watuburudishe,

Nimekumbuka video ya Konde Boy ya Amelowa yule Manzi kiboko [emoji39]
 
Imekua kero sana, nyimbo nyingi lazima wadada wainame mfano wa kuchuma mboga au walale mfano wa chura kisha wanatingisha makalio, huu ni udhalilishaji na kuchochea mmomonyoko wa maadili, kingine hizi nyimbo zinatumika katika mabasi ya mkoani, imekua tabu ukiwa na watu unaowaheshimu,
Kutafutwe style nyingine, kuokoa kizazi na uchafu
Usiwapangie cha kufanya nawew tikisa matako yako
 
Waanzilishi laki si pesa, sijui waliishia wapi. Mmomonyoko wa maadili uko korongoni tayari...

Kukata viuno kumeanzia mbali , toka kwenye Baikoko, Vanga, Mnanda, tukaja vibao kata tukaja laki sii pesa inye ndembendembe, tukaja chura ya snura, tukarukia singeli huko ndio kuna hatari, taarabu mwendokasi balaa, hadi Bongofleva wakachukua rasmi mtindo wa kunengenua kwa kukata viuno au kubinua makalio, sasa wakawa kila video wakishoot lazima kipengele cha kutikisa makalio kiwepo ikafikia hatua ikawa hali ya kawaida, lakini pia kwenye singeli hivi hakuna namna wakaitwa wasanii watumie sound ile ile lakini waimbe nyimbo zenye ujumbe na sio kusifia ngono, bange, mapenzi ya jinsia moja, uhalifu yaani kuna uchafu kwenye singeli haijapata kutokea yaani sanaa itaongeza maovu kwenye jamii zetu kuliko kawaida,
 
Back
Top Bottom