BASATA wapige marufuku wadada kucheza kwa kuinama wakitingisha makalio

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Juzijuzi nilikuwa nasikiliza kipindi cha watoto weekend kwenye redio hizi za mikoani, kwenye muda wa vipaji kuna katoto ka kike kalikuwa kanaimba wimbo wa fire wa zuchu bila kukosea yani.
 
Juzijuzi nilikuwa nasikiliza kipindi cha watoto weekend kwenye redio hizi za mikoani, kwenye muda wa vipaji kuna katoto ka kike kalikuwa kanaimba wimbo wa fire wa zuchu bila kukosea yani.
Watoto sahv akili zao zimejaa bongo fleva tu
Soon bongo itakuwa kama kongo
Yaani ukataji mauno ndiyo issue namba 1

Ova
 
Kwani hayo matako ni ya basata au ni ya hao wanawake wenyewe wanaoyatingisha? Kama kutingisha mwili ni dhambi mbona hata mayele anatingisha? Kutingisha mwili ni mazoezi na ni utamaduni wa asili. Waacheni watu wajipe raha wenyewe kwani maisha yenyewe yamejaa stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…