Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafikiri ni wasafi au efm!!Youtube ni zaidi ya vituo vya Radio!!
Wimbo umesambaa kila mahali unaufungiaje?Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia rasmi wimbo 'Nitasema' wa msanii Nay wa Mitego kwa madai ya kukiuka Kanuni ya 25 ya baraza hilo. Katika barua rasmi iliyotolewa na BASATA, wimbo huo umeonekana kuwa na maneno yanayokiuka maadili ya jamii, ikiwemo "wanaokuja kututeka, wanakuja kama polisi" na "na mkikosea, tukikosa, mnatutumia polisi". Maneno haya yametajwa kama yenye ukakasi na kutokuwa na ushahidi wa kuthibitisha madai hayo, hivyo kusababisha kufungiwa kwa wimbo huo kwa mujibu wa kanuni husika.
Nay wa Mitego, kupitia akaunti yake ya Instagram, alijibu hatua hiyo kwa kusema kuwa vyombo vya habari nchini tayari vilikuwa havipigi nyimbo zake kutokana na kile alichokiita kuwa "chawa wa serikali." Nay alieleza kushangazwa na hatua ya kufungia wimbo ambao hata hivyo haukuwa unapigwa kwenye vyombo vya habari.
Wazalendo tutausikiliza YouTube. Wafungie na YouTubeWakuu,
Ila BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Kwa hawa watu wote wanaotekwa na kuwataja polisi 🤣 🤣 au wenzetu hamjui Kiswahili. Mapana naona ndio utakuwa kiongozi kituko kuwahi kutokea tokea BASATA ianzishwe!
Halafu serikali na CCM hamjifunzi, yaani mnarudia mambo yale yale ambayo yakuja ku backfire, mnareact ovyo ovyo bila kujipanga. Mngeuchuna wala huu wimbo usingekuwa ishu, sasa mnafanya hata wale ambao hawakuusikia wameze vizuri mstari hadi mstari halafu mje muwaambie alichopotoshwa Nay ambacho hakijawahi kusemwa na wahanga ni kipi!
=====
Alichojibu Nay wa Mitego baada ya barua hii,
Hii barua ya kufungia wimbo wa 'Nitasema'. Yaani unafungia wimbo ambao mnajua kabisa hakuna media inapiga kwenye nchi hii coz media zote ni chawa wa serikali. BASATA Tanzania haya mąkosa mbona hamkuyaandika kwenye ile hati ya mashtaka mliyonipa?!
Kwaiyo haya ndio mąkosa waliyoyaona na kuufungia wimbo na sijui wanaufungia wapi sasa? Maana hakuna media inapiga nyimbo zangu na nilishasahau mambo ya nyimbo zangu kupigwa radioni sijui kwenye TV!
Kosa la pili mimi mwenyewe ni shahidi nilikosoa kwenye wimbo wangu #wapo nikakamatwa na police na dunia inajua hilo.
Kosa la kwanza tumeona mara kadhaa wanaotekwa na kubahatika kupatikana hai wakisema walio kuja kuwateka walijitambulisha kama police.
Nadhani wote tunajua huu wimbo hauna tatizo ata kidogo na ni wimbo wa kila mtanzania mwenye kupenda amani na upendo viendelee kuta wala nchini kwetu.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Haya ndiyo makosa ambayo BASATA wanamtuhumu Nay wa Mitego kutokana na wimbo wake wa Nitasema
- Ney wa Mitego aitwa BASATA kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’
Ujumbe wa wimbo ulishatufikia watanzania tulio wengi, tutaendelea kuusikilizaWakuu,

Naunga mkonoe hoja kuhusu hiyo message yake ya InstagramBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia rasmi wimbo 'Nitasema' wa msanii Nay wa Mitego kwa madai ya kukiuka Kanuni ya 25 ya baraza hilo. Katika barua rasmi iliyotolewa na BASATA, wimbo huo umeonekana kuwa na maneno yanayokiuka maadili ya jamii, ikiwemo "wanaokuja kututeka, wanakuja kama polisi" na "na mkikosea, tukikosa, mnatutumia polisi". Maneno haya yametajwa kama yenye ukakasi na kutokuwa na ushahidi wa kuthibitisha madai hayo, hivyo kusababisha kufungiwa kwa wimbo huo kwa mujibu wa kanuni husika.
Nay wa Mitego, kupitia akaunti yake ya Instagram, alijibu hatua hiyo kwa kusema kuwa vyombo vya habari nchini tayari vilikuwa havipigi nyimbo zake kutokana na kile alichokiita kuwa "chawa wa serikali." Nay alieleza kushangazwa na hatua ya kufungia wimbo ambao hata hivyo haukuwa unapigwa kwenye vyombo vya habari.
Labda hicho chama kiwe CCM, ikiwa ni Chadema hiyo itakua ni sababu ya kuzuia mkutano usiendelee...ukipigwa kwenye mkutano wa chama cha siasa ni makosa?
Wasanii kibao wameimba nyimbo za kiharakati na kukosoa ila hawajawahi kukamatwa. Mr II, Wagosi wa kaya, Prof Jay na Joh Makini wana nyimbo za kuhoji mambo ya kitaifa lakini hawajawahi kubugudhiwa. Wao hawatumii maneno ya kukera kufikisha ujumbe. Nay wa mitego kwa upumbavu wake hutumia maneno ya hovyo yasiyovumilika ndo maana anasumbuliwa. Wagosi waligusa kila sekta lakini fresh tu walieleweka. Joh Makini baada ya vurugu za Arusha mwaka 2011 alitoa wimbo wa Bye Bye lakini naye hakufanywa kitu. Nay ajifunze kwa waliomtangulia.
🙋♂️✍️🎯👍👌👏👊🤝🙏🎖️💐🎁🏆🛡️👑1. Nchi ngapi Afrika ambazo wasanii wanatunga nyimbo na kuimba kwa Kiswahili?
2. Kuna mtu mwenye utambulisho halisi ametajwwa kwenye huo wimbo ambao hauna hata tusi lolote?
3. Tanzania ndio nchi pekee yenye polisi wanaosikika wakitajwa kwenye wimbo wa msanii Ney?
4. Je, utekaji wa aina yoyote haufanyiki Tanzania?
5. Baada ya wimbo huo kusikika kwenye mitandao ya kijamii umesababisha madhara gani na kwa nani na kalalamika kituo gani cha polisi?
6. Mlalamikaji dhidi ya wimbo 'Nitasema' ni nani?
7. Hizo kanuni za BASATA zinazidi sheria?
8. Hisia za BASATA kwamba maadili yamekiukwa zimeanishwa kwenye sheria ipi?
9. Kwanini akina Zuchu waliokuwa wamefungiwa mwaka wamefunguliwa kabla ya muda kuisha kwa kosa ambalo kimsingi ndio lilikuwa kubwa kuweka hisia hadharani za ukosefu wa maadili kwenye maadili kwa vijana na wazazi?
🤣 🤣 🤣Wazee wa Msondo Ngoma nasisi tumehamia kuutafuta huo wimbo, naona hao wanaojiita bakwata sijuhi basata wameupa promotion huu wimbo...mwenye nao anitumie pm huku!
Mkuu tujikite kwenye wimbo huu wa 'Nitasema', ni maneno gani ndani ya wimbo huu ambayo ni ya kukera???Wasanii kibao wameimba nyimbo za kiharakati na kukosoa ila hawajawahi kukamatwa. Mr II, Wagosi wa kaya, Prof Jay na Joh Makini wana nyimbo za kuhoji mambo ya kitaifa lakini hawajawahi kubugudhiwa. Wao hawatumii maneno ya kukera kufikisha ujumbe. Nay wa mitego kwa upumbavu wake hutumia maneno ya hovyo yasiyovumilika ndo maana anasumbuliwa. Wagosi waligusa kila sekta lakini fresh tu walieleweka. Joh Makini baada ya vurugu za Arusha mwaka 2011 alitoa wimbo wa Bye Bye lakini naye hakufanywa kitu. Nay ajifunze kwa waliomtangulia.
Ngoja niutafute huo wimbo nikae pale nikiusikiliza huku nakunywa gahawaWakuu,