BASATA waufungie wimbo wa Albert Mangwea

Huwa najiuliza wale jamaa wanaojigeuza wanawake wakati bado limnyororo linaning'ing'inia huwa wanakojoa wamesimama au?

Na wale tomboy(vidada vinavyong'ang'ania uanaume wakati vina mbusus)na wenyewe wanakojoa wamesimama au?
KWanini mnataka Kukojoa Huku mmsesimama??? Mtume Muhamad alisema watu wote Mpaka wanaume inapaswa wakojoe Kwa kuchuchumaa
 
Mi ni mwanamke ila bado sijaona point yako,kwani hujui kama sisi hatuwezi kojoa tumesimama?

Labda yeye anasimama,,, Mambo ni mengi kizazi hiki... Wanadai wanakwepa UTI...

Wakati bado unastaajabu ya Musa basi haya pia utayaona kizazi hiki..
 
KWanini mnataka Kukojoa Huku mmsesimama??? Mtume Muhamad alisema watu wote Mpaka wanaume inapaswa wakojoe Kwa kuchuchumaa

Ukichuchumaa wewe inatosha....

Tuache Wanaume na utaratibu wetu.
 
Punguza udini mkuu. Kila jumapili naenda kanisani. Hivyo masuala ya dini yana sehemu yake
KWanini mnataka Kukojoa Huku mmsesimama??? Mtume Muhamad alisema watu wote Mpaka wanaume inapaswa wakojoe Kwa kuchuchumaa
 
Wimbo wenyewe unaitwa Sikiliza na marehemu Ngwair ndiye aliyekuwa Mastermind. Aliwashirikisha wasanii Lady Jay Dee na Mwana FA.

Japokuwa Ngwair alishatangulia mbele za haki ila kwenye huo wimbo Kuna kipande ambacho Ngwair mwenyewe ndo alikiimba na kinatia kinyaa Sana mixer kuwaibisha wanawake wote kwa ujumla.

Juzi Kati nilipita sehemu fulani hivi ya sherehe ambayo ilikuwa imesheheni wanawake kibao na DJ alikuwa anacheza Hilo songi.

Kuna kipande Ngwair aliimba eti " Najua hamuezi enda haha ndogo mkiwa mmesimama"[emoji848]
Hiki kipande kiliwafanya wanawake wote waliokuwa pale waibike Sana na walimsihi DJ aupige chini Mara Moja aweke dude jingine.

Kiukweli hicho kipande Cha Ngwair kinatia kinyaa Sana.Yaani kinawaibisha akina mama,dada na wake zetu.Japo asilimia kubwa ya wimbo wenyewe imebeba ujumbe mzuri hasa kwa wanawake( kuwasihi wanawake wawe wachapa kazi na wasijirahisishe kwa wanaume).

Ila hicho kipande Cha Ngwair kiliharibu ladha ya wimbo kwahyo ombi langu kwa BASATA Ni kwamba waufungie tu ili kulinda maadili ya jamii hasa heshima kwa wanawake.
Afadhali wewe umeliona hilo Mkuu. Ule wimbo ni wimbo wa Hovyo sana na inaonesha ni namna gani hawa wanaojiita Maproducer wa Muziki wa Bongo walivyokuwa hovyo. Unaachaje wimbo wenye maneno kama hayo utoke ndani ya Studio yako?
 
"najua hamwezi kwenda haja ndogo mmesimama,
lakini mnaweza fanya kila kitu tunafanya"
wewe ndio ulimwelewa vibaya ila hakuimba uinga unaouwaza

Mkuu umemaliza hiphop si kwaajili ya kila mtu.
 
Huu Ni utaratibu aliowuweka Mungu(Allah) kwaajili ya wanaume wote

Endelea nao wewe huo utaratibu Mkuu,,, usitake Wanaume wote tuone ni sahihi..

Logically Maumbile yanakataa Mwanaume kukojoa kachuchumaa,, na ya Kike pia yanakataa Mwanamke kukojoa amesimama...
 
Kwahyo Allah alikosea kusema wanaume wachuchumae?
 
NDIO amekosea... ndio maana Dunia nzima wanaume wanakojoa wamesimama......

Nenda vyoo vyote vya Public,, Mashuleni,, Kuchimba dawa unapo safiri kama utaona Mwanaume anakojoa amechuchumaa...

Huu U J I N G A sijui mnautoa wapi kizazi hiki..
 
Wimbo wenyewe unaitwa Sikiliza na marehemu Ngwair ndiye aliyekuwa Mastermind. Aliwashirikisha wasanii Lady Jay Dee na Mwana FA.

Japokuwa Ngwair alishatangulia mbele za haki ila kwenye huo wimbo Kuna kipande ambacho Ngwair mwenyewe ndo alikiimba na kinatia kinyaa Sana mixer kuwaibisha wanawake wote kwa ujumla.

Juzi Kati nilipita sehemu fulani hivi ya sherehe ambayo ilikuwa imesheheni wanawake kibao na DJ alikuwa anacheza Hilo songi.

Kuna kipande Ngwair aliimba eti " Najua hamuezi enda haha ndogo mkiwa mmesimama"[emoji848]
Hiki kipande kiliwafanya wanawake wote waliokuwa pale waibike Sana na walimsihi DJ aupige chini Mara Moja aweke dude jingine.

Kiukweli hicho kipande Cha Ngwair kinatia kinyaa Sana.Yaani kinawaibisha akina mama,dada na wake zetu.Japo asilimia kubwa ya wimbo wenyewe imebeba ujumbe mzuri hasa kwa wanawake( kuwasihi wanawake wawe wachapa kazi na wasijirahisishe kwa wanaume).

Ila hicho kipande Cha Ngwair kiliharibu ladha ya wimbo kwahyo ombi langu kwa BASATA Ni kwamba waufungie tu ili kulinda maadili ya jamii hasa heshima kwa wanawake.
"Najua hamuwezi kwenda haja ndogo huku mmesimama lakina mnaweza fanya kila kitu si tunachofanya"..sasa hapo kakosea nn??
 
Dah sasa umezidi na wewe ,kwani ni uongo mnakojoaga mme simama?
 
Back
Top Bottom