Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
KWanini mnataka Kukojoa Huku mmsesimama??? Mtume Muhamad alisema watu wote Mpaka wanaume inapaswa wakojoe Kwa kuchuchumaaHuwa najiuliza wale jamaa wanaojigeuza wanawake wakati bado limnyororo linaning'ing'inia huwa wanakojoa wamesimama au?
Na wale tomboy(vidada vinavyong'ang'ania uanaume wakati vina mbusus)na wenyewe wanakojoa wamesimama au?