Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Website za taasisi za seikali nyingi ni vichekesho .Habari ya mwisho kuchapishwa kwenye mtandao-Website ya Basata ni Tar 12/07/2017.
Hii nafikiri inatupa picha halisi wanavyofanya kazi.
View attachment 974413
Makidamakida😀😀😀...Huu mchezo kati ya Basata na Wasafi sijui tuuiteje.
huenda ikawa fekiBarua hii vpView attachment 974404
Unataka umshauri akiwa anaangalia channel zingine watoto wakalale ?
Mkuu naelewaHuwezi kuangalia baadhi ya vipindi vya TV wakati watoto wako hapo. Watotowana vipindi vyao maalum, ukibisha aidha huna watoto au TV au vyote.
Ipo kwenye Twitter account yaohuenda ikawa feki
basi huenda kuna mamlaka nyingine imetengua maamuzi yao.Ipo kwenye Twitter account yao
unaujua muda usiojulikana???BASATA wasanii watazidi kuwadharau kwa mtindo huu,adhabu hata haijatumikiwa wameshaiondoa mbona kwenye mpira hatuoni mambo kama hayo!Hao wamesafirije na huku walishanyimwa kufanya show?lazima walijua haiishi siku watasamehewa
Huo ndiyo ubabaishaji wa BASATAunaujua muda usiojulikana???
Mkuu wamekanusha sasa hatuelewi nani mkweli!Kwa mujibu wa Diamond wakati anaongea na vyombo vya habari nchini Kenya amesema BASATA wamewaruhusu kuendelea na show kwa masharti.
Diamond amesema mara baada ya kupigwa pini ambapo ilikua ni halali kabisa kwa kosa walilolitenda,walichukua hatua ya kuwaandikia barua Baraza hilo la.sanaa kuomba wawasamehe na kuwaruhusu kuendelea na show nyingine jambo ambalo walikubaliwa na kupewa sharti ambalo hakulisema wazi japo aliligusia kwamba wakirudi nyumbani watatakiwa kuteleza.
Mapema leo Wasanii hao ambao wako jijini Nairobi kwa ajili ya show yao ya wasafi festival jijini Mombasa na Nairobi,walionekana kwenye video fupi wakiomba radhi kwa serikali na watanzania kwa ujumla kufuatia kuperform wimbo wa Mwanza uliofungiwa na mamlaka hiyo ya maswala ya Sanaa nchini.
Hata hivyo serikali kupitia BASATA hawajaweka wazi jambo hili la kuwafungulia wasanii hao.
View attachment 973980
Hili suala mkuu anzishia Uzi Mpya watu watumbuliwe!Habari ya mwisho kuchapishwa kwenye mtandao-Website ya Basata ni Tar 12/07/2017.
Hii nafikiri inatupa picha halisi wanavyofanya kazi.
View attachment 974413