BASATA wawasamehe Diamond na Rayvanny kwa masharti maalumu

BASATA wawasamehe Diamond na Rayvanny kwa masharti maalumu

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Kwa mujibu wa Diamond wakati anaongea na vyombo vya habari nchini Kenya amesema BASATA wamewaruhusu kuendelea na show kwa masharti.

Diamond amesema mara baada ya kupigwa pini ambapo ilikua ni halali kabisa kwa kosa walilolitenda,walichukua hatua ya kuwaandikia barua Baraza hilo la.sanaa kuomba wawasamehe na kuwaruhusu kuendelea na show nyingine jambo ambalo walikubaliwa na kupewa sharti ambalo hakulisema wazi japo aliligusia kwamba wakirudi nyumbani watatakiwa kuteleza.

Mapema leo Wasanii hao ambao wako jijini Nairobi kwa ajili ya show yao ya wasafi festival jijini Mombasa na Nairobi,walionekana kwenye video fupi wakiomba radhi kwa serikali na watanzania kwa ujumla kufuatia kuperform wimbo wa Mwanza uliofungiwa na mamlaka hiyo ya maswala ya Sanaa nchini.

Hata hivyo serikali kupitia BASATA hawajaweka wazi jambo hili la kuwafungulia wasanii hao.
Screenshot_20181221-200905.png
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
inichome?, au naongelea hawa walalahoi wa sinza na tabata

naona imekuchoma sana,juhudi za kulea mwanao ni zako na sio Mond au wasanii kwa ujumla...mwanao anatakiwa aangalie channel za katuni tu na sio bongo fleva au bongo muvi zile za kina Uwoya za kupigana denda wazi wazi
 
Unataka umshauri akiwa anaangalia channel zingine watoto wakalale ?
 
Kama wewe niJF angalia post zangu nikilalamika why wanamfungia hata nje ambako wao maadili yalishakufa kitambo na ambapo mond angeweza kupiga pesa na kuleta home bila kuathiri vijana wetu

Ulifurahia ukizani Mond ndio mwisho wake
pole
Usiemtaka karudi tena
 
Kama wewe niJF angalia post zangu nikilalamika why wanamfungia hata nje ambako wao maadili yalishakufa kitambo na ambapo mond angeweza kupiga pesa na kuleta home bila kuathiri vijana wetu
Kumbe
 
This is WCB empire 4life
Chini ya baba mlezi BASHITE
 
Back
Top Bottom