Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rick Ross alikua na bifu na 50 Cent wakatungiana mpaka nyimbo mmoja hadi akatoka kimapenzi na mtu wa mwingine, ulisikia watu wameacha kazi za msingi na kutaka kuwapatanisha?Kwa hiyo kupatanisha pale unapohisi hakuna maelewano ni kukosa kazi.....izo akili unazotumia ni matope au mat****o
Unaushahidi huwo au story za kwny kahawaAliemfanya kurudi kwenye mziki ni nani??fuatilia mziki kaka diamond ndie alianzisha chokochoko...tchao
Bifu ya kiba na diamond ukilichunguza kwa makini utagundua mnufaika ni mmoja, Kiba.
Diamond hawez kuimba na kiba ngoma moja uwezo huo hana afanye na "wajanjawajanja" wenzake.Bifu zao zinawasababisha wanakosa tuzo cha msingi wapige ngoma moja xaf ya kushirikiana
Na anawakomesha kweli kweli na nyodo zake.Kiba kiburi na mwenye majivuno yasiyo na msingi.