BASATA wazungumzia bifu la Ali Kiba na Diamond

BASATA wazungumzia bifu la Ali Kiba na Diamond

Kwa hiyo kupatanisha pale unapohisi hakuna maelewano ni kukosa kazi.....izo akili unazotumia ni matope au mat****o
Rick Ross alikua na bifu na 50 Cent wakatungiana mpaka nyimbo mmoja hadi akatoka kimapenzi na mtu wa mwingine, ulisikia watu wameacha kazi za msingi na kutaka kuwapatanisha?

2 Pac na B.I.G walikua na bifu kubwa sana ulisikia watu wameacha kazi zao kuja kupatanisha watu wenye akili zao?

Lil Wayne na Wiz Khalifa, ulisikia kuna taasisi imeingilia?

Desiigner na Future wana bifu sasa hivi umesikia nani kaingilia kuwapatanisha?

Pia Chukua ushauri wa Graph unapokua unajibu watu.
 
In short kiba anategemea beef ila mond hata bila bifu mambo yake msupa tu
 
Hao nao wasimamie mambo ya msingi kama kusimamia kazi za wasanii zisitolewe copy ovyo na maharamia na media zinazonyonya wasanii sio porojo za timu
 
Yani kweli naamini maneno ya mzee hapo, ushabiki wa washabiki...hata ukisoma comments bado ni ushabiki wa mashabiki...tutafika tu
 
Bifu ya kiba na diamond ukilichunguza kwa makini utagundua mnufaika ni mmoja, Kiba.
 
Basata wakianza kufuatilia mambo ya watu watakuwa wanapoteza uelekeo
 
Back
Top Bottom