BASATA: Wimbo wa WAPO wa Ney wa Mitego kufungiwa, hauna Maadili

BASATA: Wimbo wa WAPO wa Ney wa Mitego kufungiwa, hauna Maadili

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza amesema wataufungia wimbo wa 'Wapo' wa Nay wa Mitego kwani hauna maadili.
3fc24f5cd49e3585bccaf7c39e2b661c.jpg
Watu walionao huo wimbo wafanyeje? Waurudishe au waendelee kuusikiliza.?
 
Mnafungiaje wimbo ambao haujatoka rasmi?
uko kwenye mitandao tutaufuata huko
Na wao wamesema bayana hawahangaiki na mitandao!!!
Tunaomba mwenye nao autupie hapa tuusikie kama unapaswa kufungiwa.
 
Back
Top Bottom