BASATA: Wimbo wa WAPO wa Ney wa Mitego kufungiwa, hauna Maadili

BASATA: Wimbo wa WAPO wa Ney wa Mitego kufungiwa, hauna Maadili

Serikali msimuachie ney wa mitego afungwe kifungo kirefu iwe fundisho kwa wengine
 
Bashite hakamatwi Ila wanaowambia ukweli ndo wanawakamata,hii nchi mmmmmh kizungu mkuti,bora wakoloni wangerudi watutawale kulikokutawaliw na wasukuma
 
HawJasaidia kitu ,kama ni wimbo tunao tunasikiliza,yamewagusa ndo maana wamemkamataa,siku zote ukweli unauma ,serikali ya awamu ya tano hii ,bora ingekuwa ni gari ipate pancha abilia tushuke,nchi maendeleo hakuna Ila kila kikucha matukio yasiyo na tija kwa raia ,duuu jamani hii ni nchi ya demokrasia au demokrasia ya nchi
 
Serikali msimuachie ney wa mitego afungwe kifungo kirefu iwe fundisho kwa wengine
We utakuwa bashiiiite coz we unadhan nay kaimba uwongo yaan nyinyi ndo mnasababisha tusipate mabadiliko haraka yaan watu kama nyinyi mm nkikutana nao na.....au
 
Mi ninao nimeshausikiliza na nimeuelewa kuwa
1. Kuna mtu anaitwa Bashite hili jipu jipya tok koromoje.
2. kuna mtu hataki ushauri wala kukosorewa anajiona mungu.
3. Wapo viongozi waliofoji cheti.
4. Wapo waliotolewa marinda.
Kama hawataki niusikilize waje home wawe wanalala nje kwangu ila kama wanalala kwao mbona ndo wimbo wa kufungulia na kufungia mziki nyumbani kwangu.
 
Ha ha

Bunduki INA kuhusu wewe
 
Nay wa Mitego kawashitaki Basata Mahakamani ili watuambie ni maadili gani hayajazingatiwa!
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza amesema wataufungia wimbo wa 'Wapo' wa Nay wa Mitego kwani hauna maadili. Amesema haufai unachochea vurugu.

3fc24f5cd49e3585bccaf7c39e2b661c.jpg

Mkuu alisha sema kupiga kazi na kutokuskiliza maneno na kale ka msemo tusipangiane kameenda wap basata hawakajui ama ni uoga wao[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji1] [emoji1]
 
wacheni woga unamchochea nani labda huyo rais lakini naye si ana majeshi
 
Back
Top Bottom