Bashite...weka mbali na serikali ya TanzaniaKila kitu kinawezekana, sasa imekifu Bashite lazima angoke tu apende au asipende.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashite...weka mbali na serikali ya TanzaniaKila kitu kinawezekana, sasa imekifu Bashite lazima angoke tu apende au asipende.
Na kwataalifa yako mtukufu kasema asisumbuliwe ye anakapenda hako lawimbo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji85] [emoji85]Nahisi ney kabla ya kuutoa huo wimgo angemkonsult kwanza lema amwambie hali ya huko gwandani ikoje kwa kel maana namuhurumia.
Hahahahahaaaa mwambie na kesho ney anashow sehemRoho mbaya itakuuwa ww Ney kakosea nini hadi afungiwe?
Na kwa taalifa yako rais kasema aachiwe na wimbo huo anaupenda kama nn [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kamfungie mzeeNgoja afungiwe mwaka mzima na hakuna kupiga hata wimbo wake ndio atapata akili.Kiki imebuma
Umeimbwa na nani mkuu?Kuna pini lingine nmeliskia leo linaitwa "Nipeleke Segerea" ni shida sijui nawezaje kuupload hiku