[emoji23] naona unazidi kugongelea msumari kwenye mfupa w Barshite
We utakuwa bashiiiite coz we unadhan nay kaimba uwongo yaan nyinyi ndo mnasababisha tusipate mabadiliko haraka yaan watu kama nyinyi mm nkikutana nao na.....auSerikali msimuachie ney wa mitego afungwe kifungo kirefu iwe fundisho kwa wengine
Ha haMi ninao nimeshausikiliza na nimeuelewa kuwa
1. Kuna mtu anaitwa Bashite hili jipu jipya tok koromoje.
2. kuna mtu hataki ushauri wala kukosorewa anajiona mungu.
3. Wapo viongozi waliofoji cheti.
4. Wapo waliotolewa marinda.
Kama hawataki niusikilize waje home wawe wanalala nje kwangu ila kama wanalala kwao mbona ndo wimbo wa kufungulia na kufungia mziki nyumbani kwangu.
Nitawahi kumpigia maulidi kitenge ndiye kiboko yaoHa ha
Bunduki INA kuhusu wewe
tatizo sio maadili ila uoga kwa mamlaka za uteuzi lazima tujifunze kukubali kutokubaliana.Wewe una wadudu kichwan
Hauko sawa kamwone dokta
hahahaaaa noma sanWatu walionao huo wimbo wafanyeje? Waurudishe au waendelee kuusikiliza.?
We una hekari ngapi ulizolima?watu wengine hamna kazi umejipinda kuandika upuuzi huu muda bora ungeutumia kulima
Mkuu alisha sema kupiga kazi na kutokuskiliza maneno na kale ka msemo tusipangiane kameenda wap basata hawakajui ama ni uoga wao[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji1] [emoji1]Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza amesema wataufungia wimbo wa 'Wapo' wa Nay wa Mitego kwani hauna maadili. Amesema haufai unachochea vurugu.
Uko wapi? Uweke hapa mkuu.Hapo bado hawajausikia Usinipangie wa Baghdad.....