BASATA: Wimbo wa WAPO wa Ney wa Mitego kufungiwa, hauna Maadili

Kutegemea sheria kusababisha utovu wa nidhamu na ukosefu wa heshima ni kosa ambalo miaka nenda rudi limeendelea kusababisha mmomonyoko wa maadili kwa Taifa.
Taifa bora ni like linalojengwa na misingi ya maadili,hofu ya Mungu.
Kumsapport huyo kijana ni kuzidi kumsababishia matatizo,ni bora mgelimkanya.
Utetezi wa kisheria dhidi ya Ney ni aina nyingine ya uendawazimu kwa .........wetu.
 
fungieni ni ule wa kuzisoma namba maana tumesooma weee had za kirumi
 
Daaaah wewe apa umemaliza kabisa
 
...wimbo murua huo na umejaa maadili...maana unakemea maovu....hata waufungie haitasaidia...maana watanzania wengi tayari wanao...na wanausikiliza....hatasaidia wakiufungia maana ujumbe tayari umefika....wimbo mzuri sana huo....
Na istoshe wanapo mfungia ndo kila mtu anakua na ham ya kuupakua ili ausikie ndipo msanii anapo faidika [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sasa mbona mm nisha udanlodi¿¡¿ nifanyeje sasa au hautalia tena
 
Maadili gani hauna?

Tatizo wabongo hatupendi ukweli?

(Ha ha ha eti kichaa kapewa Runguuuuu)
 
Alichoimba ni kile kinachojadiliwa kwenye mitandao ya jamii bila serikali kupiga marufuku yaani ukienda Tanzagiza, facebook, whatapps kote huko maneno yaliomo humo yanajadiliwa sema yeye ameyaweka katika hali ya wimbo
 
Basata inabidi wabadilike...wanafungia nyimbo wapi radioni? Kama na online pia wanachemka hawana uwezo huo tupo kwenye digital age... Hauwezi kufungia kitu kilichopo online
 
Hii nchi imeoza ni kamata teua tengua ndio viwanda vitazalishwa kweli?? Miaka 2 ni uozo mtupu.
 
BASATA huku mtaani kwetu nao WAPOOO!!..tuwafungie mpaka waonyeshe vyeti ama?..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mbona huu wimbo uko vzr kabisa na unaelimisha jamii? kwanini wanakurupuka kumfungia?
 
Inamaana wataudiliti kwenye memory ya simu za watu wote walioupakuwa ama wanaufungiaje
 
Hivi izi nyimbo wanapozifungia hata kwenye mitandao huwa wanazifungia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…