binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Nawapenda wasafi ila wimbo wao ulikuwa wa hovyo sana, kama wamekosa chakuimba wakacheze rede. Imagine unakutana na kitoto mtaani kinaimba nyege nyege nyegezi.... Utaona aibu lazima. Ni wazi watoto hawaelewi matusi ila itafika muda watayaelewa na watatambua kumbe kuimba na kuongea matusi mbele ya public ni kawaida, watafanya hivyo na wao tukose wakumlaumu, lets think big.
Tunaoelewa matusi sote ni watu wazima, lakini jamii ina watu mchanganyiko si watu wazima pekee hivyo wimbo unasikilizwa na kila mtu, unakuta wimbo unapigwa uko na mzazi wako, Aibu gani hii, Badilikeni tumewachoka wapuuzi nyie.
Big up basata.