BASATA yaufungia wimbo wa Mwanza ulioimbwa na msanii Rayvanny kwa kushirikiana na Diamond Platnumz

Nimesikia tu juu juu kupitia online tv za utube kuwa wimbo mpya wa Rayvany nd simba umefungiwa kwa madai unahamasisha mambo yasiyo kwenye maadili.
Jambo holi linaukweli gan, lakin pia kuna jambo la kusema hapa.
 
Naona mnatoa tu mapovu! Tatixo lenu mihemko mingi. Wimbo hauna matusi, bali tafsida nyingi ( Fasihi ), sasa kutafsiri kwako ndio huleta hayo matusi.
 
MKIENDELEA HIVI BASATA MTAOKOA KIZAZI CHA WATANZANIA. NAWAPONGEZA SANAY
 
Mimi nimeshaupakua kitambo naenjoi tu na mkewangu kwetu nyege'z
 
Hili baraza ni afadhali lifumuliwe ziwekwe damu changa zinazoelewa mazingira yaliyopo kwa karne hii.Haya mambo ya kufungia nyimbo zilizotungwa kwa tafsida hapo iko shida,maneno yamefumbwa lakini bado nyimbo inafungwa,kama ni maadili nyimbo za kina Nick minaj watoto wanaangalia kila siku na hamzizuii,mnasema eti ni aibu kusikiliza na mzazi,sasa nini maana ya tafsida?mana yake si asiyehusika asielewe ,yani kuficha ukali wa maneno na ndo sanaa ilivyo..Kuna vitu vingi hauwezi kufanya mbele ya wazazi na vipo vingi tu lakni vina sehemu yake,kama hizo nyimbo ni kwajili ya clubs kwetu sisi watu wa vyombo,sasa shida iko wapi..Yani unafungia kifupi cha NYEGEZI(NYEGE) sasa utasikiliza IOKOTE?.Hili baraza limeshapitwa na wakati,mfano kale ka MGEREZA kale,wawekwe vijana pale bhana,Mnatukosesha vingi sana,Kama hamlei watoto wenu vizuri nyumbani msisingizie nyimbo zinaharibu watoto,kama watoto wanaimba lakni hawaelewi shida iko wapi?.haka ka MGEREZA Kanatafuta kiki kapewe tenda ya KUNUNUA KOROSHO NTWARA??..
 
Kisa imeguswa wasafi?
Hao jamaa wanaimba matusi haifai kwa jamii japo mimi ni mmoja kati ya washangiliaji wao
 
Basata hawatakiwi kutafasiri wimbo ukitafasari unapoteza maana
 
Kisa imeguswa wasafi?
Hao jamaa wanaimba matusi haifai kwa jamii japo mimi ni mmoja kati ya washangiliaji wao
Anayelewa kwamba ni matusi ujue kakua huyo,kwani kuna ubaya gani wewe ukisikia matusi?kwani wewe ni mtoto?Ambao hawaelewi ni watoto ndo mana wanaimba hadharani..kwani kuna shida gani mtoto kuimba tu ila hajui mana yake?.Rejea MHOGO WA JANG'OMBE bi kidude,UNAKULA NINI by jaffarai,mkono mmoja by tmk,MGUMBA by Revolution band mwinjuma na Anna MANUNDU By dudu baya,Ina mana zamani basat haikuwepo?.
 
Sometime tunaweza walaumu vijana,lkn kumbe hata wazee wa zamani walilipalilia hili Mf Matona ,Bi kidude ila katika zote kwenye,Zilipendwa kuna moja hili nahisi yule mama (Mwanahela) alikula kijiti pori "mkunaji na mkunwa ,huona raha ni nani ",kwenye vipindi vya zilipendwa linapigagwa mara kwa mara..
 
Back
Top Bottom