Hili baraza ni afadhali lifumuliwe ziwekwe damu changa zinazoelewa mazingira yaliyopo kwa karne hii.Haya mambo ya kufungia nyimbo zilizotungwa kwa tafsida hapo iko shida,maneno yamefumbwa lakini bado nyimbo inafungwa,kama ni maadili nyimbo za kina Nick minaj watoto wanaangalia kila siku na hamzizuii,mnasema eti ni aibu kusikiliza na mzazi,sasa nini maana ya tafsida?mana yake si asiyehusika asielewe ,yani kuficha ukali wa maneno na ndo sanaa ilivyo..Kuna vitu vingi hauwezi kufanya mbele ya wazazi na vipo vingi tu lakni vina sehemu yake,kama hizo nyimbo ni kwajili ya clubs kwetu sisi watu wa vyombo,sasa shida iko wapi..Yani unafungia kifupi cha NYEGEZI(NYEGE) sasa utasikiliza IOKOTE?.Hili baraza limeshapitwa na wakati,mfano kale ka MGEREZA kale,wawekwe vijana pale bhana,Mnatukosesha vingi sana,Kama hamlei watoto wenu vizuri nyumbani msisingizie nyimbo zinaharibu watoto,kama watoto wanaimba lakni hawaelewi shida iko wapi?.haka ka MGEREZA Kanatafuta kiki kapewe tenda ya KUNUNUA KOROSHO NTWARA??..