BASATA yaufungia wimbo wa Mwanza ulioimbwa na msanii Rayvanny kwa kushirikiana na Diamond Platnumz

Soko lipo kwenye mitusi hiyo hiyo sijui BASATA wanataka wote tuimbe injili
 
Nawapongeza basata.Ushauri wangu kwao nyimbo kabla hazijaanza kupigwa ni bora zikahakikiwa kama zimekizi kisikilizwa na jamii yetu.
 
Hawa jamaa wamezidi matusi kwao kama fashion sio wakuwachekea hata kidogo
 
Kwamfano mimi natokea Sengerema inamaana nikiitwa SENGE BOY nitakuwa nimetukanwa??
Duh kweli kuishi mkoani muda murefu na kuongea kilughalugha kuna madhara yake wa mkoani,ndo kwanza nimegundua neno ms@@nge limegeuzwa sengerema asante sana JF hata kudanga nimelijulia humu.
 
Cha Ajabu Toka Umetoka Huo Wimbo Haujawah Kupigwa Wasafi Fm Sijui Walishajua Kitakachotokea Mbeleni
Mamaaaaaa we jamaa wewe wasafi fm kama huisikilizi nenda ata kwenye page yao ya IG unapigwa mpka kero
 
Hii nyimbo ya mwanza basata wanasema wameifungia, well and good ! Ila kumbuka mashabiki wako hawako Tz pekee, hio nyimbo ifanye iwe "region locked" isipatikane Tz ila mataifa mengine ambayo kwao sio shida waweze kuipata hao ndio wanakupa show nyingi kuliko apa nyumbani, Fanya kwa ajili yao hapa bongo ni wachache sana wanaeza kukulipa per show! Ifute kwenye uso wa Tz ila usiifute kwenye uso wa dunia hiyo nyimbo..na hii wafanye wasanii wote wanaofungiwa nyimbo zao na basata hapa Tz...mashabiki wako duniani kote sio TZ pekee
 
Kwa hiyo huko kwengine ndiko tujiaibishe na kujichoresha tukoje wabongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…