Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Soko lipo kwenye mitusi hiyo hiyo sijui BASATA wanataka wote tuimbe injiliAnayelewa kwamba ni matusi ujue kakua huyo,kwani kuna ubaya gani wewe ukisikia matusi?kwani wewe ni mtoto?Ambao hawaelewi ni watoto ndo mana wanaimba hadharani..kwani kuna shida gani mtoto kuimba tu ila hajui mana yake?.Rejea MHOGO WA JANG'OMBE bi kidude,UNAKULA NINI by jaffarai,mkono mmoja by tmk,MGUMBA by Revolution band mwinjuma na Anna MANUNDU By dudu baya,Ina mana zamani basat haikuwepo?.